Mamlaka nchini Niger zimeliamuru shirika la msalaba mwekundu kusimamisha shughuli zake nchini humo na kufunga ofisi zake mara moja .Vilevile, Niger imevunja mikataba iliyoruhusu shirika hilo kuendesha shughuli zake nchini Niger.
Baada ya kupokea amri hiyo kutoka serikalini, ofisi zote za...