msalaba wa wakristu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    Kutumia Msalaba kama ishara ya ukristo na kanisa si sahihi

    Msalaba ni zana ya kunyongea wahalifu ya utawala wa Warumi (weapon of execution) kama ilivyo kamba ya kunyogea, kiti cha umeme, sindano ya sumu au jambia la kuchinjia. Kama Yesu angechinjwa kwa jambia je tungekuwa tunaweka alama ya ya upanga/jambia juu ya jengo la kanisa au kuivaa kifuani?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…