msamaha wa rais

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Hii makala nimeisoma nikashindwa kuelewa. Sasa wanaopata msamaha wa Rais walikosa nini hadi kufungwa?

    Habari wakuu, Nimeisoma hii makala nikabaki na duwaa. Nimeona ni kama vile wanaopata msamaha ni kwa makosa ya mauaji (pengine kwa kutokusudia) na wizi mdogo mdogo, na magomvi ya kupigana. Pengine mnielimishe zaidi. Mtu anafungwaje maisha au anahukumiwa kifo halafu anapata msamaha wa...
  2. Rais Samia atoa msamaha kwa wafungwa 1548

    MIAKA 63 YA UHURU WA TANGANYIKA: Katika kuadhimisha sherehe hiyo, Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Rais Dk. Samia Suluhu Hassan leo Disemba 09, 2024 ametoa msamaha kwa wafungwa 1548, ambapo wafungwa 22 kati yao wanaachiliwa huru tarehe 9 Disemba, 2024, na 1526 wanabaki...
  3. Aliyekuwa ofisa wa Magereza na wenzake wafikishwa Mahakamani kwa makosa ya kughushi msamaha wa Rais

    Aliyekuwa ofisa wa Magereza, Josephat Mkama na wenzake wawili wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na makosa manne likiwamo la kughushi msamaha wa Rais kwa wafungwa. Washtakiwa wengine katika kesi hiyo ni Sibuti Nyabuya na Joseph Mpangala. Kesi hiyo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…