Zamani mimi nilikuwa najua neno tia linatumika bandarani tu(kutia nanga), baadaye nikaja kujua linatumika kama matusi pia, lakini kadri muda ulivyoenda nikaja kujua linatumika sana hasa na watu wa pwani katika mambo mengine mbambali mfano mapishi, "tia chumvi", "tia nazi", "tia mafuta" n.k...
Hili neno "kushenyeta" naliona kwenye muktadha tofauti tofauti sana na inanipa ugumu kujua maana yake halisi ni nini.
Wataalam wa lugha hebu tuambieni maana halisi ya hili neno
Kama ilivyojadi kwa manguli wa tasnia ya lugha mbalimbali ulimwenguni, ni kawaida kila mwisho wa mwaka kuingiza misamiati mipya katika lugha zao ili kuendelea kukuza na kuhuisha lugha zao asilia ili zisimezwe na lugha za kigeni.
Ni muda sasa tuanze kuingiza misamiati kama Mbususu, Winga, Kwa...
Mwezi ni nguvu ya asili yenye kuleta giza ndiyo nishati inayotupatia wakati wa usiku.
Mwezi ni jumla ya wiki nne ambapo kuna siku takribani 30/31/29 na kwa mwaka mzima tunapata miezi 12.
Wazungu wametumia neno msamiati MOON kumaanisha nishati,vile vile wametumia neno MONTH ikimaanisha idadi ya...
Hivi ilikuwaje kwenye lugha ya kiswahili mpaka mke wa kaka akaitwa "shemeji" kwa ndugu wote wa mume yaani wakiume, na wa kike wanamwita "wifi". Ila mume wa dada akaitwa "shemeji" na jinsia zote mbili!?!
Inamaana walikosa kabisa jina lingine? 🤔
Ili wananchi waweze kuelewa vizuri Sheria mbalimbali nchini pamoja na vifungu vyake, kunatakiwa kuwe na mtiririko mzuri katika uandishi wake pamoja na matumizi ya lugha rahisi.
Wananchi wanapaswa kuwa na uwezo wa kuelewa sheria bila kuhitaji msaada wa kisheria au ufafanuzi wa ziada. Hii...
digital rights 2023
kuzingatia
lugha
lugha rahisi
msamiati
mtiririko bora
sheria
sheria ya ulinzi wa taarifa binafsi
tanzania
ulinzi wa taarifa binafsi
‘Bila ya kuathiri sheria za nchi, kila mtu yuko huru kuwa na maoni yoyote na kutoa nje mawazo yake, na kutafuta, kupokea na kutoa habari na dhana zozote kupitia chombo chochote bila ya kujali mipaka ya nchi, na pia ana uhuru wa mawasiliano yake kutoingiliwa kati.
‘(2) Kila raia anayo haki ya...
Kisonoko:
Ni Mtu (hasa Mtumishi wa Kike) mwenye Kudharauliwa na ambaye hajui Kitu chochote
Chanzo: Gazeti la Habari Leo la leo.
Ngoja na Mimi sasa nianze kuangalia katika Sekta mbalimbali za Kiutendaji na Kiutumishi Tanzania nione kama kuna akina 'Visonoko' wengi ili tuwasaidie Kuwarekebisha...
Jana Rais Samia Suluhu Hassan akiwa mkoani Mwanza, amemuambia Waziri wa Mambo ya Ndani, Yusuph Masauni ajitafakari kwa mauaji yanayoendelea nchini.
Hadi Sasa waziri yupo kimya. Je yeye na IGP hawauelewi msamiati huu wa kiswahili?
"Kunyambuka" inawezekana likawa siyo geni kwako mwanabodi, lakini Mimi kwangu ni geni .naomba ufafanuzi ndugu wataalamu wa lugha na msamiati wa Kiswahili.
Kunyambuka nyambuka, ndiyo kufanyaje?
Ikiwezekana members wote, kusanyeni comments zote kwa pamoja halafu mnijibu, siyo comments zinakuja...
Eti kila mtu humu ni mkuu, hahaa mi nadhani huu ni woga, ni woga kwa sababu wanajamii wa humu wanadhani wote wamesoma mpaka chuo kikuu, tena wengi wanadhani wanatokea pale UD, na tena ni woga maana wengi wanadhani wanajamii wa humu ni wakazi au wanaijua mno Dar.
Mimi nadhania kuitana mkuu ni...
Katika mademu kumi nitakaowatongoza Basi nane au tisa wananikataa hii Ni kwa sababu Mimi waga nikikutongoza Leo au nikikupenda leo nataka uingie geto siku hiyohiyo na ndo maana ndugu zangu kazi ya kuwambeleza wanawake nawaachia nyie Bora ukatae ili nikupotezee niendelee na mishe nyingine kuliko...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.