Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema Wizara hiyo imewaondoa kwenye nafasi zao wakurugenzi watano wa Bohari ya Dawa Tanzania (MSD) kutokana na malalamiko yaliyokuwa yakitolewa.
Waziri Ummy amesema hayo jana Jumatatu Mei 16, 2022 jijini Dodoma wakati akihitimisha mjadala wa bajeti kwa wizara hiyo...