#PilikaPilika: Kwa tafsiri rahisi “Msela” ni mtu wa aina gani?
#PilikaPilika #HainaKuchoka
Msela ni mtu asiyejali chochote. Apate chakula anafurahi. Asikipate anafurahi. Aibiwe anacheka tu. Apigwe anauliza "hujamaliza niondoke?" Ukimpeleka jela anakuuliza "kumbe hata hapa wanakula?" Umtishie...