Nimewahi kusema na narudia kusema huyu kijana ana gundu. Tangu afike hakuna chamaana Simba alicho fanya.
Tutabadili wachezaji wote, makocha wote ila hatutafika popote.
Hana bahati na Simba.
Kuisemea Team ambayo haina uwezo ni kazi jamani nyie achen Mtu unajitamba Jumamos tunaenda kumaliza kazi Mashabiki Njooni..
Mnyama Robo anatinga,ghafla Akili inarudi inakwambia huo uwezo huna,Team lako goigoi... unaanza kuomba Support ya Mashabiki tena onhoo hili hatuwez sisi na Mo na Mangungu...
Wakati nyie mnaparurana huko, sisi kama sisi huwa tupo peace and love na huwa tunapongezana pia kusaidiana mbinu pale inapohitajika. Haya ya kuchukiana tunawaachieni nyie mnaotoa viingilio.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.