“Ahmed Ally amenikosea sana, anatumia umaarufu wake kunichafua, Mimi siyo kiongozi Wa kwanza kushabikia Yanga”
Mh Said Mtanda, Mkuu wa Mkoa wa Mwanza kupitia kipindi cha michezo cha Crown Sports ya Crown FM
Una maoni gani?
Yaani kama kuna Mtu ambaye namuona ni Nuksi ndani ya Simba SC yetu na Anatuponza mno Kimatokeo kutokana na Kauli zake na Uyanga wake aliojifichia kwa kusema kuwa Yeye tokea zamani ni mwana Simba SC basi ni huyu Msemaji wa Simba SC Ahmed Ali.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.