Semaji la Dunia Arsene Bucuti kumbe nauli ya kurudi kwao Burudi hana, ametia huruma kwa Rais wa Yanga Eng Hersi na wadau wamchangie ili arudi kwao doh! Aibu tupu:):Agakakskagesh:
Semaji la Vital'O FC Arsene Bucuti amesema nauli ya kurudi Burundi hana hivyo anatarajia kupewa na Rais wa Yanga...
🚨 Transfer News Live:Arsene Bucuti To Fountain Gate🔜
Klabu ya Fountain Gate,iko kwenye mazungumzo ya mwisho kukamilisha usajili wa msemaji wa Vital’O arsene Bucuti.
Singida wamempa ofa ya mkataba wa mika miwili wenye $2500 (tsh 6,721,237) kama Sign-on fee) mshahara wa $1500 (tsh 4,032,742)...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.