Kwema
Kuna changamoto nimeipata kwangu ni mpya na sielewi niitatue vipi au niende wapi ama napaswa kusubiri.
Ni kuhusu malipo ya mshahara wangu, wenzangu walilipwa mapema kabisa mwezi huu. Mimi sikulipwa, nikafatilia nikaja kujua kua walikosea account ya malipo, kwenye account number yangu...