Kuna muda inakera sana unakuta wachezaji wa timu nyingine hawapo loyal na team zao, timu ikifungwa wanachukulia poa tu, wachezaji wanarogana ndani ya team, n.k.
Ukija upande wa Yanga hali ni tofauti, wachezaji wengi tumewaona wapo tayari kuifia uwanjani, wapo tayari kuvumilia kupigwa bench...
Hi great thinkers,
Kama mshahara kako ni kadogo na unategenmea mwezi hadi mwezi bila kuwa na marupurupu yoyote basi wewe utakufa maskini kapuku hutaweza hata kuwahudumia wategemezi wako, hutaach a asset yoyote hapa duniani mpaka unazikwa.
Piga picha masaa kumi hadi kumii na mbili unafanya...
Hello,
Jamani mdgo wenu nilipata ajira ya million I0 kwa mwezi nikaichezea mpaka Contract inaisha hamna Cha maana nilichofanya.
Wengi mlinisimanga sana humu.
Lakini Sasa nimejiunza, na kwa bahati nzuri nmepata kazi nyingine ambayo take home itakuwa 1.3M
Najua itakuwa ngumu maana nilikuwa...
Kwema Wakuu!
Unajua hawa Vijana wa sasa hivi ni kama wamewehuka fulani hivi.
Unakuta mtu analalamika Mshahara wake ni mdogo, unajaribu kumsikiliza, unamuuliza unalipwa bei ngani, anakuambia labda laki tatu au laki mbili. Unamuuliza Elimu yako vipi, anakuambia Darasa la Saba au aliachia njiani...
Mimi ni muajiriwa wa kampuni X, ila kiukweli mshahara ni mdogo sana nalipwa 250/month.
kiukweli hii pesa nashindwa kuigawa coz ni ndogo, 90% inaisha kwenye kula na matumizi mengine madogo madogo. Ni changamoto kiasi kwamba nashindwa hata kununua aset za ndani sababu pesa yote inakwisha najikuta...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.