Wakuu,
Nna maswali kadhaa najiuliza:-
1. Kama kweli mshahara WA dhambi ni mauti, Ina maana TULIOWAZIKA WOTE NI WATENDA DHAMBI
2. Kama kweli mshahara WA dhambi ni mauti, Kwaiyo WASIO NA DHAMBI HAWAFI?
3.Kama mshahara WA dhambi ni mauti, Je Zinazungumziwa dhambi aina zote ndo zinapelekea kifo au...