@mshana jr

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    Jifunze kusikiliza nafsi yako, usiende kinyume na mwili wako..!

    Kama kila siku unafanya Kitu Fulani na nafsi inakuwa very smart kukifanya Kitu hiko Basi siku ukiona nafsi IPO tofauti na matakwa yako jifunze kutiii Mungu hawezi kushuka akakwambia Leo sehemu Fulani hapana hawezi kushuka Ila anatumia mwili wako huo huo kukupa signal kuwa something Is wrong...
Back
Top Bottom