Kama mada ilivohapo juu, nilianza kuumwa siku kama na nikaenda kupima majibu yakaja nina Malaria, lakini kadri nikinywa dawa nilizopewa ma kumeza ,mala mdomo na mate vikawa tasteless kila food nakiona kibaya, mwili ukaanza kuishiwa nguvu hadi sasa siwezi simama hata kwa takika 5 hivyo nikastop...