Nyota wa Yanga, Kibwana Shomari, Dickson Job na Abuutwaleeb Mshery wamepanga kutoa msaada wa bima za afya kwa watu 500 mkoani Morogoro kupitia tamasha lao la Wape Tabasamu 2025
Kilele cha tamasha hilo ni Jumapili, Julai 6, 2025 ambapo kutakuwa na mchezo baina ya timu zinazoongozwa na wachezaji...