Habari wandugu
Niseme tuu hii sikukuu kwa upande wangu imekaa vibaya sana mimi naishi Dar nina mwanamke Arusha na Moshi sasa nikawapanga wote tukulane hizi sikukuu wakakubali.
Jana nikafunga safari kutoka Dar nikaanza na wa Moshi den leo na kesho niwe na wa Arusha maana wa Arusha hatujawahi...