Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) limewataka Watanzania wote kuungana na kushirikiana mara baada ya uchaguzi wa serikali kufanyika kwa amani.
Akizungumza kwa niaba ya Baraza hilo, Katibu Mkuu wa BAKWATA, Alhaji Nuhu Mruma, aliwasihi wananchi kuwapa ushirikiano viongozi waliochaguliwa...
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Tanzania Bara Abdulrahman Kinana amesisitiza umuhimu wa kudumisha umoja, mshikamano na ushirikiano baina ya watanzania wote bila kujali dini, kabila wala rangi kwa kuwa ni suala la Kikatiba na msingi wa ubinadamu.
Kinana ametoa ujumbe huo wakati...
Waziri Mhagama Awaomba Wananchi Kuendelea Kulinda Amani na Mshikamano wa Kitaifa
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Sera, Bunge na Uratibu Mhe. Jenista Mhagama ametoa rai kwa wananchi kuendelea kuzilinda tunu za umoja wa kitaifa za utulivu, amani na ushirikiano...
Inawezekana tukifanyia mabadiliko madogo Katiba yetu, 2025 tukaunda Serikali ya Mseto.
Zanzibar ya leo, siyo ile tuliyoiona au kuijua enzi za ngangari na ngunguri za kina Mahita. Siri kubwa nyuma yake nionavyo ni mshikamano wa "KWELI" kupitia "SERIKALI YA UMOJA/ MSETO"
Tanganyika ina bahati...
Waliahaonyesha wazi kuwa wao wana ubabe na hawataki kubembeleza mtu.
Wana imani kuwa wana nguvu ya umma itawapa backup na walishaonyesha mapema.
Wanataka tume huru na katiba mpya kwa ngivu kupitia nguvu ya umma.
Hata wakikaribishwa ili kujumuika na wanasiasa wenzao ili kuonyesha mshikamano...
Bila mshikamano wa kweli Tanzania tuitakayo itakuwa ni sawa na ndoto za Alinacha.Tutaimba sana amani na umoja lakini haki bila wajibu au wajibu bila haki ndiyo silaha pekee ya kuvunja umoja wetu wa kitaifa ulioasisiwa na Mwalimu J K nyerere.
Watawala wamepata mashaka juu ya kuvunjika kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.