Habari wanaJF,
Ninaomba tucheze mchezo unaitwa "wa mwisho ndo mshindi". Ni mchezo rahisi sana, unaanzisha sentensi kwenye neno la mwisho la sentensi aloandika mwenzako.
Mfano:
Ualimu Tanzania ni kazi ngumu kiasi
Kiasi ambacho kama hukuzoea maisha ya tabu, utalalama kila siku
Siku uianze...