mshipa

  1. Na lilivyo Juha (Fool) kama Kichwa chake kilivyo Kibaya limeenda kabisa hadi Msibani. Hata Mshipa wa Aibu halina

    Ninawalaumu sana tu pia waliokuwa Msibani kwani hapo ndipo palikuwa patamu na Wao kumaliza Shughuli kabisa!!!!
  2. Ndugu unaempa mtaji ajitegemee anaanza upya kukuomba pesa hana mshipa wa aibu?

    Ni ndugu yangu mwenye miaka 26, kamaliza chuo mwaka juzi. Hapo zamani mara kwa mara alikuwa akiniomba pesa za kutatua shida zake, hizi elfu 20 nimemtumia sana. Nikaona isiwe taabu, kitu anachoomba ni kama samaki naowavua basi nayeye nimpe ndoano awe anajivulia, Tulikaa chini pamoja nikamuuliza...
  3. J

    Katibu wa TEC: Maaskofu wanahitaji kuisoma mikataba iliyosainiwa, walipoitwa hawakuambiwa kulikuwa na nini

    Katibu wa TEC Padre Dr. Kitima amesema Maaskofu wanahitaji kuusoma mkataba, walikuwepo watatu na walipoitwa hawakuambiwa kuna nini ila walichosikia ni kuwa Maoni ya Wananchi yamezingatiwa. Maaskofu walikuwa wanawasemea Wananchi na "Walichosikia" maoni ya Wananchi yamezingatiwa, amesema. Naye...
  4. Mumewe hawezi kusimamisha tena

    Iko hivi;Kuna rafiki yangu anasema mumewe hawezi kusimamisha Tena mjegeje baada ya mshipa mmojawapo wa mjegeje kuvunjika. Huyu mumewe alienda kwa mchepuko wake,Sasa wakati wa kunyanduana ndo mchepuko akaikalia. Sasa alivyoikalia ndo mshipa wa mjegeje ukavunjika. Mumewe hakusema alivyorudi...
  5. Hivi inamaana kuna viongozi huwa hawana mshipa wa aibu, ni vigeu geu sana kwenye suala la Corona

    Mfano huyo mama mtu mzima kabisa, kama analazimishwa si alipaswa ajiuzulu? Hiyo ndio maana ya kukomaa kisiasa, kitu hukubaliani nacho unajitoa, kwani lazima uwe kwenye hiyo nafasi? Enzi za JPM alitoa video ya nini kifanyike (mazoezi, matunda, kupiga nyungu nk.),na walikataa chanjo kwa sauti...
  6. Nadhani mke wangu mshipa wa aibu ulishakatika

    Mambo zenu wakuu? Mke wangu hana mshipa wa aibu kabisa. Mwanamke huyu kwanza anaweza akajamba mbele yangu, leo asubuhi niko naoga bafuni kaja kachuchumaa akaanza kujisaidia haja kubwa mbele yangu. Binafsi nimeshangaa sana kwa sababu anafanya some issues ambazo binafsi I can't do.
  7. JKCI yaweka mshipa bandia kwenye moyo

    KWA mara ya kwanza madaktari bingwa wa upasuaji wa moyo kwa watoto katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI), wamefanya upasuaji wa kutenganisha mshipa wa kusambaza damu kwenye mwili na kuweka mshipa bandia wa kusambaza damu kwenye mapafu. Upasuaji huo uliochukua muda wa saa nne na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…