mshtuko

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ally Kamwe: Tetesi za kufungiwa zilimpeleka mama yangu hospitali, alipata mshtuko

    Baada ya tetesi za Meneja Habari na Mawasiliano wa Yanga SC, Ally Kamwe kudaiwa kufungiwa (kama hukusoma bofya hapa -Inaelezwa Ali Kamwe kafungiwa miaka 2, Ahmed Ally anusurika na rungu la TFF), Mwanayanga huyo amejitokeza hadharani na kuelezea kuhusu madhara ya tetesi hizo na jinsi...
  2. Klabu ya Singida wamepokea kwa mshtuko na masikitiko kocha wao kutambulishwa Yanga

    Uongozi wa Klabu ya Singida Black Stars umeeleza kustushwa na taarifa za Kocha wao Mkuu Hamdi Miloud Raia wa Algeria na Ufaransa kutambulishwa kama Kocha mpya wa Yanga bila kufuata utaratibu. Singida Black Stars walimtangaza Hamdi Miloud kuwa Kocha wao mpya mwezi mmoja uliopita kwa Mkataba wa...
  3. Mshtuko mkuu ndani ya CCM. Ushindi wa Lissu na Heche ni chanzo. Je, Mungu anaifuta CCM?

    Duru za ndani ya CCM zinanyetisha kuwa hali ya mtafaruku na mfadhaiko mkubwa imeikumba CCM kutokana na pigo takatifu la ushindi wa Tundu Lisu na John Heche katika uchaguzi wa CHADEMA taifa. Vikao vya wakubwa vimekuwa haviishi, na kupelekea kuleta hofu inayoweza kuzua mpasuko mkubwa wa ndani ya...
  4. Unaweza kumuua mwenzako kwa mshtuko😂

    Hizi prank hizi😂😂😂
  5. G

    Kava nzuri hunyonya mstuko, heri kutumia simu bila kava kuliko kava gumu linalobana sana, simu inapodondoka mshtuko unanyonywa na simu badala ya cover

    Si kila kava ni kwajili ya ulinzi wa simu, Kuna kava ambazo zipo kwajili ya mvuto, ikiwa unanunua kasha kwa lengo la mvuto chagua yoyote itayokuvutia lakini kwa lengo la ulinzi hasa kwetu wenye uchumi wa kawaida tunaopenda kutunza simu, yatupasa kujikita na hadhi ya ulinzi wa kasha. Kava nzuri...
  6. FBI Wamekutana na mshtuko mali zote za PDidy zimeandikwa jina ka mama yake

    Miaka ile ya 90 wakati Bad Boys wakiwa juu, juu karibu na mawingu kabisa, kulikuwa na mwamba wa kuitwa Mase. Huyu mchizi alikuwa mkali sana kwenye kuimba, ni moto mkubwa sana. Alikuwa mshikaji sana na Diddy, yaani naye alikuwa ndani ya Bad Boys, aliona kila aina ya uchafu, aliona kila aina ya...
  7. Fikiria kila mtu ni msaliti ila hajagundulika tu,hii itakusaidia kupunguza mshtuko endapo mambo yakienda vibaya

    Wale ambao mnatembelea mitandao mbali mbali,kuna habar huko katika ule mtandao wa kindege,kwamba kuna mwamba ambaye yupo karibu na mkuu wa kaya,huyu mwamba kamnunulia tamu yake apartments kadhaa,na kila mwezi humpa milioni ishirini (20ml) za matumizi tu. Sasa ebu fikiria,tamu ya mwamba pamoja...
  8. Hezbollah bado wapo kwenye mshtuko wa moyo hawaamini mashambulio yao yamefelije! Waliwahiwa mapema kiufundi na IAF

    Kanali Anan Abbas, Mkuu wa Udhibiti katika chumba kikuu cha operesheni cha Kamandi ya Kaskazini, alifichua katika mahojiano na chombo cha habari cha Maariv siku ya Jumanne kwamba operesheni ya hivi majuzi dhidi ya Hezbollah ilihitaji miezi ya maandalizi ya kina. "Hezbollah inajaribu kutathmini...
  9. B

    Mshtuko: Mwanaume hata uishi Miaka Mingi kiasi gani lakini Utakufa na Utamwacha Mkeo akiwa Hai

    Sina maelezo mengi ila nyote mnajionea wenyewe mfululizo wa matukio. Kweli wanaume tumeumbwa mateso. Maisha tunahangaika sisi ili familia ziwe na ustawi mzuri wa kuhaki na kiuchumi lakini vyote tunaviacha wanafaidi wengine. Yaani hata ukiishi miaka mingi kiasi gani utajikuta tu lazima Mke...
  10. Bangi inasababisha mshtuko wa Moyo

    Utafiti mpya uliofanyika nchini Marekani umegundua kuwa kuvuta au kula bidhaa zozote zenye bangi husababisha athari kubwa kwenye moyo wa Binadamu kama vile kupata mshtuko wa moyo pamoja na kiharusi na yote haya hutokea hata kama Mtu hakuwa na magonjwa ya moyo na hajawahi kuvuta sigara hapo...
  11. Rais wa Uturuki, Recep Tayyip Erdoğan, amepatwa na mshtuko wa moyo

    Hali ya Rais wa nchi ya Uturuki Recep Tayyip Erdoğan amegua gafla na kukimbizwa Hospital baada ya kupata mshtuko wa moyo akiwa akijindaa kwenda kwenye mahojiano na kituo kimoja wapo cha Television nchini mwao. Uturuki inatarajiwa kufanya uchaguzi May 14, 2023 ambapo Rais wa Uturuki Edogan...
  12. Raila Odinga: Nilikwenda Zanzibar kuondoa mshtuko wa kupoteza Uchaguzi

    Aliyekuwa Mgombea Urais wa Azimio la Umoja Raila Odinga alieleza kwamba alisafiri kwenda Zanzibar pamoja na familia yake yote ili kupata nafuu baada ya kushindwa Uchaguzi wa Agosti 9, 2022. Waziri Mkuu huyo wa zamani alibainisha kuwa safari ya nje ya nchi ilikuwa muhimu kuwezesha familia yake...
  13. Mshtuko: Gunia la mahindi lauzwa 135K

    Haijawahi kutokea! Hivyo ndivyo unavyoweza kusema baada ya bei ya mahindi kufikia kuuzwa laki na thelathini na tano kwa gunia la debe sita ambazo ni sawa na kilo 107 hadi 110 kutegemea na uzito wa mahindi.
  14. Mshtuko baada ya mlinzi wa Ruto kuanguka kutoka kwenye gari lililokuwa kasi

    Jumatatu, Mei 16, DP alikuwa katika kaunti ya Kajiado ambapo yeye, pamoja na mgombea mwenza wake aliyeteuliwa hivi karibuni Rigathi Gachagua na viongozi wengine walikuwa wakijipigia debe. Hata hivyo, walipokuwa wakiondoka Rongai, wenyeji waliachwa kwa mshangao baada ya mmoja wa wasaidizi wa...
  15. Mshtuko Mkata: Wananchi waandamana hadi kituo cha Polisi kushinikiza mwananchi mwenzao aachiwe

    Ni huko Mkata Handeni Tanga. Wananchi wamechoshwa na uonevu? Huenda.
  16. K

    Polepole unaposherekea kubomolewa kwa nyumba za wananchi Kimara -Kibamba unajua tulipoteza ndugu zetu kwa mshtuko?

    Nimeona mabishano yanayoendelea Kati ya Kigogo na Polepole, ukisoma ujumbe wa Polepole ni dhahiri anafurahia kitendo cha ndugu zetu kupoteza maisha, kuparalize na wengine kupoteza kabisa dira baada ya serikali ya Magufuli kuvunja nyumba za wananchi kupisha upanuzi wa barabara ya Kimara to...
  17. Hatimae mshindi wa BIKO azimia kwa mshtuko

    Mengi yamesemwa eti ooh mbona washindi wa BIKO hawaonyeshi mshtuko wanapoambiwa wameshinda mamilioni!!.. Sasa leo ngoma imepata mchezaji baada ya mkazi wa mbagala "kuamua" kuzimia alipoambiwa na kajala pale ITV kuwa ameshinda mil 20! Mkazi huyo alipoulizwa na kajala eti umezimia? Akajibu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…