Wadau mwenye Kujua ama kuelewa juu ya binti anayefaa Kwa Kazi Za ndani ama house girl umri 15-25 basi tuwasiliane.
Mahali Ni DAR Ila malipo ama mshahara Ni suala la maafikiano ya Pande mbili
Kwa mawasiliano nicheki Mie 0743699591
Habari
Natafuta msichana wa kufanya kazi saluni ya kike iliyopo Mbagala kuu, Dar es salaam -njia ya Kijichi. Awe anajua kusuka mitindo yote, kuweka dawa, steaming, kuosha nywele na kazi nyinginezo za saluni ya kike.
Itapendeza zaidi akitokea maeneo ya karibu na huku kama vile Mbagala, Temeke...
Habari,
Anahitajika msichana wa kuuza Duka la supermarket na Duka la baby shop. Awe na elimu ya kidogo cha nne,
Awe Mkali wa Kigamboni.
Number za simu: 0757511447, 0625511447
Naomba nisipoteze muda wenu. Kichwa cha habari kinajieleza. Naishi na mke wangu na watoto wetu wadogo wawili. Nilikuwa safarini kikazi kwa muda wa wiki mbili.
Nimerudi nyumbani nimekuta mke wangu ameleta msichana wa kazi aliyebarikiwa mzigo mkubwa na wa kuvutia mno. Msichana huyu anaonekana...
Awe bado ni binti ambaye hana mambo mengi na ni Mkristo! Kama atakuwa kamaliza kidato cha nne itapendeza zaidi! Ndio nasema kidato cha nne kwasababu wengi unakuta wako nyumbani hawana issue mwisho wa siku wanaenda kuuza Baa au kudanga wapate hela ya kula.
Kazi kuu itakuwa kuuza dukani! Akiamka...
Zikiwa zimepita siku 53 tangu aliyekuwa msichana wa kazi za ndani Annet Kassim (20) kudaiwa kuuwawa na bosi wake, mfanyabiashara Diana Sabhai (44), amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Wilaya ya Ilala, akikabiliwa na shtaka la kumuua msaidizi wake.
Februari 9 mwaka huu mwanamke huyo, mkazi...
HUKUMU YA MZEE SADALLA JUMA SADALLA (74) ALIYEMBAKA MSICHANA WA KAZI ZANZIBAR,ITASOMWA SIKU YA JUMATATU 21 MACHI 2022 KATIKA MAHAKAMA UA VUGA,UNGUJA.
Mzee Sadalla Juma Sadalla (74)mkazi wa Bububu,Unguja anayeshitakiwa kwa kosa la kumbaka mshichana wake kazi (jina limeifadhiwa) atarajiwa...
Natafuta mdada wa kazi za ndani,
Mshahara- 60,000
Sehemu-kinondoni
Dini - yeyote
Aina ya familia atakayofanyia kazi ina Baba , mama na Mtoto wa miaka 4.
Atakayekuwa tayaru nicheck Dm
Update “nmeshapata”
Msichana wa kwa ajili aje auze Duka la makasha ya simu na charger nk.
Awe anaishi kwao umbali wa kutembea tu karibu na pale PALM VILLAGE Mikocheni A ili mambo ya nauli yasiwepo.
Malipo kwa mwezi ni shs.100,000/- (laki moja Tu) kwa kuanzia.
contact 0628501029
Asanteni.
MSICHANA WA KAZI KABAKWA NA MZEE WA MIAKA 74 AMBAYE NI BOSS WAKE MKAZI WA BUBU, ZANZIBAR, POLISI WADAIWA KUPOTEZA KESI!
Mheshimiwa Rais Hussein Mwinyi aombwa Kuingilia kati sheria ifuate mkondo
Bubu, Zanzibar.
Mzee Sadalla Juma Sadalla mwenye umri wa miaka 74 mkazi wa Bubu, Zanzibar...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.