''Chama cha siasa siyo imani, lakini hata imani watu wanahama. Ni ndoa ya ki-katoliki tu ndiyo ambayo huwezi kuachana, chama cha siasa kama nilivyosema kwamba tuna nchi ya kujenga''
---
Ndugu zangu watanzania,
Hayo ni Maneno yaliyotamkwa na mchungaji Peter Msigwa,Mbunge wa Zamani wa Iringa...
Wakati wote na mahali pote Mchungaji Msigwa anaelezea ubaya wa Mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe tu na huwezi kumsikia akielezea ubaya wa Chadema kama chama
Ogopa sana Mtu wa namna kwani ni Janjajanja fulani
Mlale Unono 😀
Pamoja na Nape kuwa bomu bingwa wa uropokaji, Chama changu kitukufu tuwe macho na Peter Msigwa staili yake ya kuzungumza bila kupima kauli zake inaweza kukiponza chama.
Ana speed kali juzi Kawe alimlinganisha Mbowe na Kurunzinza wa Burundi kwa Udikteta bila kujua kuwa tuna urafiki wa karibu na...
Mheshimiwa Mwenyekiti Freeman Aikael Mbowe na Makamu mwenyekiti Tundu Antipas Lissu nianze kwa kusema ninawaheshimu sana.
Mmepigwa mawe mengi sana ya maneno ya kisiasa, mmevumilia mengi sana, mmenyang'anywa hata mali zenu, mmeshikiwa mtutu wa bunduki. mmewekwa mahabusu kwa manufaa ya akina...
Mchungaji Msigwa
Ukihitaji salamu subiri kwanza Utopolo wamkung'ute, Kolo 5 - 1 hiyo tarehe 8, tofauti na hapo utaula wa chuya!
Bado nashangazwa sana na Siasa anayoifanya mtu mzima Peter Msigwa, sababu ya yeye kuhama CHADEMA alisema ni uminywaji wa Demokrasia huku lawama kibao akimtupia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.