Baada ya Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Freeman Mbowe kumtaka Mchungaji Peter Msigwa kuomba radhi na kulipa fidia ya Shilingi bilioni 5 kutokana na madai ya kumkashifu, Mchungaji Msigwa kupitia mawakili wake kutoka Mwamgiga Law Chambers ametoa majibu rasmi.
Katika...
Chadema sio taasisi ni mali Mbowe, Mbowe amewahi kusema chadema ni Mbowe na Mbowe ni CHADEMA, Nikiamua kusema yote ninayoyajua hamtaamini, wengi wenu hamna taarifa kama mimi kwanini mnashindwa kufikri hata kidogo mnadhani mimi kichaa kujiondoa ndani ya Chadema!,mwambie mbowe aache kuwatapeli...
''Chama cha siasa siyo imani, lakini hata imani watu wanahama. Ni ndoa ya ki-katoliki tu ndiyo ambayo huwezi kuachana, chama cha siasa kama nilivyosema kwamba tuna nchi ya kujenga''
---
Ndugu zangu watanzania,
Hayo ni Maneno yaliyotamkwa na mchungaji Peter Msigwa,Mbunge wa Zamani wa Iringa...
Wakati wote na mahali pote Mchungaji Msigwa anaelezea ubaya wa Mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe tu na huwezi kumsikia akielezea ubaya wa Chadema kama chama
Ogopa sana Mtu wa namna kwani ni Janjajanja fulani
Mlale Unono 😀
Pamoja na Nape kuwa bomu bingwa wa uropokaji, Chama changu kitukufu tuwe macho na Peter Msigwa staili yake ya kuzungumza bila kupima kauli zake inaweza kukiponza chama.
Ana speed kali juzi Kawe alimlinganisha Mbowe na Kurunzinza wa Burundi kwa Udikteta bila kujua kuwa tuna urafiki wa karibu na...
Anapoikosoa chadema chama kilichompa utajiri alionao Leo anakosea sana. Hata CCM lazima wawe makini na mtu kama Msigwa. Iko siku atayachukua ya madhaifu ya CCM na kuyapeleka kwingine maana anayajuà.
Msigwa anataka kutuaminisha kuwa CCM ni wazuri sana kuliko CHADEMA, hii ni kweli? Huu ni udhaifu...
Mchungaji Peter Msigwa ameichanachana CHADEMA kwenye mkutano wa hadhara karibu kabisa na Ufipa st Kinondoni
Msigwa amesema CHADEMA hakunaga Dira wala Sera bali husubiri kusikia Chama Dume CCM kimesema nini Ili wao wakosoe basi
Source: Mwanahalisi Digital
My take; Makapi kutoka Ufipa st ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.