Kila siku mida hii ya usiku ñaona mabinti wanapita wanasema wanaenda msikitini, kipindi hichi cha mfungo wanaenda kufanyaje? Mbona kama NI hatari Sana?
Leo nimekuta binti mmoja kavaa ushungi kabananishwa kwenye ukuta kuna kinjia kinatoka msikititi, walikua wanayajenga walivyoniona wakapiga...
Kama member mmoja humu anaitwa Eli Cohen anapenda kusema kuwa "itikadi yenu sio ya harakati ya haki wala ukombozi, ila ni ya harakati za kitapeli"
Mengine nawaachia
Admins. Naona mnaondoa hizi Videos ambazo zinazungumza kwa ushahidi na wala si kashfa wala matuzi. Leo admin uliyepo ni yupi ambaye hutaki ukweli? Hakuna matusi wala kashfa.
Baadhi ya waislam siku kama ya Leo saa 7 wapo ktk vikao badala ya kwenda msikitini . Saa 7 vikao visitishwe Vikao virudi tena saa 8 mpaka usiku wa manane
Baadhi ya mabosi huanzisha vikao siku kama ya Leo wakijua waislam wanatakiwa waende msikitini. Vikao vitoe fursa saa 7 msiktini saa 8 na...
Yaani kwa bidhaa nyingi sana naziona zimeandikwa halal kwa lugha ya kiarabu na huku umechorwa msikiti kwa maana kwamba nchi hii ni ya kidini na ya kiarabu au nchi hii imeuzwa kwa waarabu mbona hata sielewi au nyingi wenzangu hamjawahi kukutana nazo?
Ila bidhaa za nguruwe sijawahi kuona kabisa...
Bismillahir Rahmanir Rahiim
SHURA YA MAIMAMU TANZANIA
KAMATI YA MAADILI
WARAKA WA WAZI KWA MSEMAJI MKUU WA SERIKALI
JUNI 18, 2024.
‘MLINZI MWANAMUME WA RAIS KUVAA HIJABU NA KUINGIA MSIKITINI’
Shura ya Maimamu imeona malumbano yanayoendelea katika Mitandao ya Kijamii kuhusiana na picha...
Rais SSH kuingia na mlinzi wa kiume mskitini ni jambo la kawaida kutokana na sababu mbali mbali , hasa kama kuna tishio la usalama au kutokana na idadi kubwa ya watu wanaokusanyika kwa pamoja.
Tujiepushe na mihemko isiyo na tija na badala yake tufikirie suluhisho zinazojenga na kuheshimu...
Zaidi ya Watu wameuawa kwa kupigwa risasi wakiwa msikitini katika Mji wa Natiaboani siku ambayo pia iliripotiwa Watu 15 kuuawa kwa kushambuliwa wakiwa Kanisani (Mji wa Essakane) ikiwa ni mwendelezo wa machafuko yanayotokea Burkina Faso.
Inadaiwa waliofanya shambulizi ni sehemu ya Makundi ya...
Hali inazidi kuwa mbaya kwa wafuasi wa iblis
Wakati wa ziara yake ya kutembelea msikiti mjini Toronto, Waziri Mkuu wa Canada amezomewa na hadhirina kotokana na msimamo wake kuhusu mauajii yanayoendelea kufanywa na utawala haramu wa Israel dhidi ya raia wa Ukanda wa Gaza huko Palestina ambako...
Naona Waraka Sasa umefika Kila pahala, haujamuacha MTU salama! Naam wanaushambulia Kwa hakika though hakuna tangible points hapa!
Masheikh hawa wanaamini Waraka wa TEC utaleta taharuki. Wanafanya reference ya mambo ya ESCROW.
Wanasema tamko la TEC linataka kuleta taharuki Kwa wananchi na...
Asalaam alykhum.
Nimefuatilia sana hikinkipande cha sinema nikaishia katikati, kucheka nataka, kuwa serious nashindwa.
Nikaona siyo sawa, kama mtu huwezi kuenenda sawa sawa na utaratibu wa ibada basi bi bora kutulia tu.
Hebu mcheki yule mwamba VP Gachagua anachofanya kwenye 01:36 hadi walio...
Watu wasiojulikana wamemchinja mlinzi aliyekuwa akilinda katika msikiti wa Shree Hindu Mandal Temple uliopo mjini Kahama kisha kuiba sadaka na kuharibu vitu vya thamani vilivyokuwa kwenye msikiti huo na kutokomea kusikojulikana.
Mlinzi huyo aliyefahamika kwa jina la Bakari Karasani (46) ambaye...
Takriban watu 32 wameuawa katika mlipuko uliotokea kwenye msikiti mmoja katika mji wa Peshawar nchini Pakistan.
Mlipuko huo ulitokea wakati msikiti huo ukiwa umejaa waumini na zaidi ya watu 150 kujeruhiwa.
Sehemu ya jengo iliharibiwa, na maafisa wanasema watu wamezikwa chini ya vifusi.Wengine...
Hawa nao ndio sijawahi kuwaelewa, wote dini moja ila wanampigania 'mungu' mmoja na kuishia kulipuana hata kwenye misikiti, IS dhidi ya Mataleban.....
A blast went off on Wednesday at a mosque near Afghanistan's Interior Ministry, the Taliban said.
Interior Ministry spokesman Abdul Nafi Takor...
Mpaka sasa watu zaidi ya watu 18 wamekufa baada ya kuuliwa na bomu msikitini katika swala ya leo ijumaa katika mji mkuu wa Afghanistan kabul.
Mosque blast in Afghanistan kills prominent scholar, civilians
At least 18 people killed, including pro-Taliban imam, in suicide attack on the Guzargah...
Leo mida hii ya swala ya adhuhuri afisa chanjo amefika msikitini tunapo swalia, nahisi atakuwa sio muislam maana kipindi tunaingia kuswali yeye alibaki nje.
Baada ya swala watu wachache wamejitokeza kuchanja hasa idadi kubwa ikiwa ni wazee wenye umri zaidi ya miaka 50+ na vijana wachache...
Kwanza Kabisa nichukue muda kidogo kumshukuru Mwenyezi Mungu , mwingi wa rehema kwa kutuwezesha kuamka salama , sema Amina .
Baada ya utangulizi huo wa kiroho nafurahi kukufahamisha kwamba Chama cha Demokrasia na Maendeleo leo 14/9/2021 kitafanya Mkutano wake na Waandishi wa Habari kwenye ofisi...
Muda wa kuswali wapunguzwa Mkoani Iringa, kuanzia jana, muda wa kuswali katika nyumba za ibada umepunguzwa kutoka zaidi ya dakika 30 za awali hadi kati ya dakika 10 na 15 siku ya Ijumaa.
Shehe wa Mkoa wa Iringa, Abri Said alisema utekelezaji wa maelekezo hayo ulianza jana katika misikiti yote...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.