Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Jimbo la Iringa Mjini, Frank John Nyalusi, amezungumzia hujuma zilizojitokeza katika upigaji kura wa uchaguzi wa Serikali za Mitaa uliofanyika jana, tarehe 27 Novemba 2024.
Nyalusi ameeleza kuwa Chama kimeshuhudia vitendo vya vurugu na...
Mpiga kura Mtaa wa Mwatulole katika kituo cha kupigia kura Mwatulole Center ambaye awali alilalamika kutoona jina lake, hatimaye amekiri mbele ya msimamizi wa uchaguzi Jimbo la Geita Mjini, Yefred Mnyenzi kuwa jina lake limeonekana na ametimiza haki yake.
baada
daftari la wapiga kura
geita
hatimaye
jina
kuelekea 2025
kupiga kura
kura
lge 2024
mkali
msimamizimsimamiziwauchaguzi
mtifuano
mvutano
tamisemi kusimamia uchaguziuchaguziuchaguzi serikali za mitaa 2024
uchaguziwa serikali za mitaa
wapiga kura
Wanabodi,
Kuna hii taarifa kwamba kuna vyama takriban 14 ambavyo vimejitokeza kugombea kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa huko mkoani Dodoma.
Hivi ukitoa CCM, CHADEMA na ACT hivyo vyama vingine ni vipi? Au ndo matawi ya CCM?
==========================================================...
Wasimamizi wa uchaguzi ngazi ya vituo halmashauri ya Nsimbo mkoani Katavi wametakiwa kuzingatia muda wa kufungua na kufunga vituo vya kupigia kura ili kuepusha vurugu zinazoweza kutokea katika vituo hivyo.
Akizungumza mara baada ya kufanga mafunzo hayo Msimamizi wa uchaguzi halmashauri ya...
Msimamizi wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa wa Halmashauri ya Jiji la Dodoma, Dk. Frederick Sagamiko ameonya tabia ya viongozi wa vyama vya siasa kujipitisha katika Vituo vya Kupiga Kura wakati wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa ili kuepusha migogoro isiyo ya lazima.
Dk. Sagamiko amesema hayo...
Msimamizi wa uchaguzi halmashauri ya mji wa Njombe, Kuruthum Sadick amesema kuwa kuelekea kwenye kampeni za uchaguzi mpaka siku ya uchaguzi hakuna kijana atakayeweza kutumika kuvuruga zoezi la uchaguzi kwa kuwa vijana wa Njombe wanaelewa maana ya uchaguzi.
Kuruthum ametoa kauli hiyo wakati...
Wakuu,
Mbona maelekezo yameanza kuwa mengi na hata kampeni hazijaanza?
Msimamizi wa uchaguzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Lindi, Juma Mnwele amevihimiza vyama vya siasa vinavyoshiriki katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 kuhakikisha kampeni zao zinafanyika kwa kistaarabu na kwa kufuata...
Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya Hai na Msimamizi wa Uchaguzi, Dionis Myinga amekanusha malalamiko yaliyotolewa na baadhi ya wanaotajwa kuwa wagombea wa nafasi ya Mwenyekiti kwa baadhi ya vijiji katika wilaya hiyo kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kuwa wameenguliwa baada...
Wakuu,
Kama vile imekuwa mashindano kuangalia wapi wataengua waombea wengi kuliko wenzao!
=====
Jumla ya wagombea 350 wa nafasi mbali mbali za uogozi wa Serikali za Vijiji na Vitongoji wameenguliwa kati ya 4,282 ya waliochukua fomu katika Halmashauri ya Wilaya ya Mtwara.
Hayo yamebainishwa...
Anaandika Twaha Mwaipaya kupitia ukurasa wake wa mtandao wa X
"Kata ya Marangu Mashariki Kijiji cha Lyasongoro Msimamizi wa uchaguzi amewawekea wagombea wa Chama cha Demokrasia Maendeleo (CHADEMA) mapingamizi na kuonyesha kua mapingamizi hayo yameandikwa na wagombea wa CCM. Baada ya wagombea...
Michael John Gwimile, Mkurugenzi na Msimamizi wa Uchaguzi Halmashauri ya Kilosa.
Soma Pia: Prof. Jay: Wagombea wetu wote Wilaya ya Kilosa wameenguliwa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa
Mambo ni moto, mi nawasogezea tu taarifa karibu, muda wa kufanya maamuzi ukifika mnakuwa na taarifa zote muhimu.
Kupata taarifa za mikoa mbalimbali kuhusu uchaguzi wa serikali za mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Nyuzi za Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi...
Ofisi ya msimamizi wa Uchaguzi kata ya Sogea Mjini Tunduma imefungwa kwa muda usiojulikana katika kipindi hiki cha Uchukuaji na urejeshaji wa Fomu za wagombea huku chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)kikilalamikia kunyimwa nakala ya Fomu walizorejesha kwaajili ya uteuzi wa wagombea...
Vurugu kubwa zimetokea katika mtaa wa Engosengiu kata ya Sinoni kati ya msimamizi wa uandikishaji wa mtaa huo na wakala wa chadema na baadhi ya wananchi baada ya msimamizi huyo kutaka kumtorosha muandikishaji wa daftari bila ya kuonyesha idadi ya waliojiandikisha wakiwa na lengo la kwenda...
Vitendo hivi vinazidi kushamiri nchini, watu wasiojulikana wamechoma moto nyumba ya Mwenyekiti wa Kijiji wamechoma moto magari na nyumba ya Msimamizi wa uchaguzi vile vile wamechoma moto magari na nyumba ya Mbunge.
PIA SOMA
- Uelewa wangu juu ya kundi la watu wasiojulikana
~ Matukio ya Watu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.