msimamo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. #COVID19 Utata wa chanjo ya UVIKO-19: Askofu Gwajima kutoa msimamo mwingine juu msimamo tarehe 1/8/2021

    Mtazame na msikilize mwenyewe ktk video hii. Yeye kauita huu wa kesho kuwa ni "msimamo juu ya msimamo"... Hii ndiyo sauti ya "Jitu la Mbinguni" iliayo nyikani kusema itengenezeni njia ya Bwana maana ufalme wa Mwanakondoo upo duniani...! Video na sauti yake itafuata.
  2. #COVID19 CHADEMA wanastahili pongezi kwa msimamo wao dhidi ya COVID-19

    Toka janga la Covid19 lianze mwaka jana msimamo wa chama cha CHADEMA ulikuwa watu tahadhri zote zichukuliwe kama kuvaa mask na kuungana na jumuiya za kimataifa katika kupambana na ugonjwa huu ikiwezekana watu kuchanjwa. Wabunge wa CHADEMA walipovaa mask bungeni walionekana wasaliti...
  3. M

    CCM na CHADEMA katika kubadilisha msimamo kijamii, kisiasa na kiuchumi - nani zaidi kati yao?

    Nimetafakari sana kuwa ni nani zaidi kati ya CCM na Chadema katika kubadilisha msimamo kijamii, kisiasa na kiuchumi? Kwa mfano CCM walikuwa na msimamo kuhusu katiba mpya haki kuanzisha mchakati uliopelekea kukusanya maoni ya wananchi. Pia ilikuwa na msimamo kuwa Corona haipo Tanzania kwa...
  4. #COVID19 Askofu Gwajima ndiye kiongozi pekee aliyebaki na msimamo usioyumba kuhusu UVIKO 19 na chanjo zake

    Mimi hapa The Palm Tree nilikiri na kukubali hadharani kuwa, moja ya jambo lililosimamiwa kwa usahihi na mwendazake Rais John Pombe Magufuli ni hili la msimamo wake thabiti wa ishu ya COVID 19 na chanjo zake. Ni bahati mbaya kuwa viongozi wenzake wote waliokuwa pamoja naye wakati wa uhai wake...
  5. #COVID19 Viongozi wa dini wakubali kufata maelekezo ya Wataalamu wa Afya katika kukabiliana na Covid-19

    Viongozi wa umoja wa dini mbalimbali umesema msimamo wao katika mapambano ya ugonjwa wa Covid-19 ni kusikiliza sauti za wataalamu na wanasayansi ikiwemo maamuzi ya chanjo ya kupambana na ugonjwa huo. Kauli ya viongozi hao imekuja siku chache baada ya chanjo zaidi ya milioni 1 za Covid - 19...
  6. #COVID19 Dkt. Gwajima: Msimamo wangu kuhusu Corona haujabadilika

    Waziri wa afya wa Tanzania Dorothy Gwajima amesema kwamba msimamo wake kuhusu janga la corona haujawahi kubadilika. Hii ni baada ya waziri huyo kupokea shutuma hasa mitandaoni kwamba awali katika utawala uliopita alikuwa na msimamo tofauti na wa sasa kuhusu hatari ya virusi hivyo na sasa...
  7. Kusema hatujawahi kuwa na Rais mwenye msimamo tangu enzi za Mwalimu Nyerere, ni kudhalilisha viongozi

    Rais anashauriwa vibaya. Tumekuwa tukiwatetea Marais wetu wapendwa kwa kauli hii. Unajiuliza yeye Rais hana akili? Yaaani leo hii nije kukushauri ukajisaidie hadharani itaonesha kuwa wewe ni mtu wa watu huchagui au huna majidai. Nawe unaenda? Wewe si huna akili sasa? Hii kauli ilishika kasi...
  8. J

    Msimamo wa Bunge ni upi kuhusu mradi wa Bandari ya Bagamoyo?

    Nawasalimu kwa jina la JMT. Je, msimamo wa bunge kuhusu mradi mkubwa wa ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo ni upi? Nawatakia Dominica yenye baraka!
  9. Kasongo acha vitisho, Yanga hatujui kudanganya msimamo hatuchezi na Simba

    Nianze kwa kumpongeza Kaka Bumbuli. Nimeona sehemu Mwenyekiti wa Bodi anatishia viongozi wafuate kanuni. Haramu huliwa na haramu Mmeacha kufuata kanuni kama BODI nani mtamwongoza acheni VITISHO nawambia wana Yanga msinunue tiketi za Mechi Yanga walishamalizana na Simba mkinunua yanawatokea...
  10. Kwa uwajibikaji huu wa Wizara ya Michezo, hakika Dkt. Magufuli tutakukumbuka mzee wa msimamo

    Yaani wizara ya michezo chini ya waziri Bashungwa inakuja na tamko jepesi kuhusu kuwarudishia mashabiki pesa zao za viingilio kutokana na kuhahiriswa kwa mechi ya simba na yanga bila kuwajibika kwa aliyesabisha tatizo hilo. Bila kifikiria adha na usumbufu watu walioacha shughuli zao huko...
  11. Wapinzani hawasomeki, hawana msimamo vigeugeu wasio na msimamo

    Kabla ya kuingia madarakani Hayati Magufuli walikuwa wanataka kiongozi mkali atayepinga ufisadi na kupambana na wala rushwa. Atakayekemea wanaotumia vibaya madaraka na wazembe. Bahati mbaya Hayati Magufuli amefariki na sasa ameingia Rais Samia kuwa Rais wa JMT sasa wanashangilia na kufurahi...
  12. Waziri wa Elimu anafanya kazi gani mpaka baadhi ya mambo ayatolee maamuzi Rais?

    Binafsi huwa napatwa na mhaho sana pale ambapo nakua naangalia utendaji kazi wa baadhi ya mawaziri ambao wengine ni maprofesa kabisa lakini wao kama mawaziri sioni contribution yao moja kwa moja wanasubiri wadau walalamike moja kwa moja kwa Rais then yeye anafuatisha maagizo. Je, Wao hawawezi...
  13. #COVID19 Mbunge wa Kawe, Askofu Josephat Gwajima asema kutokufanya social distancing wakati huu wa Covid-19 ni msimamo sahihi

    Wakatia akichangia hoja Bungeni, leo tarehe 10 Februari, 2021, Mbunge huyo wa Jimbo la Kawe amesema: "Kuna ugonjwa wa Covid-19 ambao umetikisa dunia na nchi yetu imechukua msimamo tofauti na nchi nyingine zozote. Waheshimiwa Wabunge, natumia nafasi hii kuwatia moyo. Msiogope. Msiogope...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…