msimu wa jua

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Unakabilianaje na kipindi hiki cha joto na jua kali?

    Habarini wakuu Natumai kwema. Dah! Joto limezidi ni hatari. Inafikia mpaka unahisi ya harufu ya nyama choma kumbe ni wewe unachomwa jua! Unakabiliana vipi kuhimili msimu huu wa joto. Exception: Kwa wale mliopo sehemu zenye baridi na mvua.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…