msimu wa mahindi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Huu ni msimu wa uuzaji mahindi na wanunuzi wakuu ni serikali, lakini nimetembela maghala kadhaa hakuna mashine ya kupepeta

    Huu ni msimu wa uuzaji mahindi na wanunuzi wakuu ni serikali, lakini ajabu nimetembela magodawni kadhaa hakuna mashine ya kupepeta taka kama hii hapa chini. Wanatumia sefa za waya ambazo kwa kutwa sefa moja haimalizi tani30 lakini hiyo mashine inarahisisha kazi kwa kutwa inamaliza tani90...
  2. Wakulima hatarini kukosa mazao msimu huu

    Wakulima wa mahindi Kanda ya Kaskazini ambapo ni pamoja na Kilimanjaro, Arusha, na Kilindi katika mkoa wa Tanga, wapo hatarini kupata hasara katika kilimo cha mahindi kutokana na kile wanachodai mvua kukatika mapema. Wakulima hao wengi hawajui cha Kufanya hadi sasa kutokana na kuwa waliwekeza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…