msimu wa usajili

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. PakiJinja

    Bado wadogo wanakua, tuwape muda

    Naona Simba wameamua kutengeneza timu watakayoipitisha njia ya Clement Mzinze. Kila mashabiki wa Yanga walipojaribu kumlaumu Mzinze, utetezi uliotumika kuwapooza mashabiki hao ni kwamba bado mdogo, anakua hivyo apewe muda. Mashabiki wa Simba wenyewe pia wameandaliwa kisaikolojia kama ilivyokuwa...
  2. Majok majok

    Simba hiki ni kipindi cha usajili. Je, mnasajili kwa kutumia ripoti ya Mgunda ama mnasubili kocha mpya?

    Moja ya vitu ambavyo Simba na viongozi wake wanaferi ni eneo la usajili, sasa hivi wanaongelea kusajili lakini wakati huo huo hawana majibu kama mgunda wanampa timu ama lah! Kama Mgunda anapewa timu basi wafanye usajili kupitia ripoti ya Mgunda, na kama wanatafuta kocha mpya wanatakiwa wampate...
Back
Top Bottom