Naona Simba wameamua kutengeneza timu watakayoipitisha njia ya Clement Mzinze. Kila mashabiki wa Yanga walipojaribu kumlaumu Mzinze, utetezi uliotumika kuwapooza mashabiki hao ni kwamba bado mdogo, anakua hivyo apewe muda.
Mashabiki wa Simba wenyewe pia wameandaliwa kisaikolojia kama ilivyokuwa...
Moja ya vitu ambavyo Simba na viongozi wake wanaferi ni eneo la usajili, sasa hivi wanaongelea kusajili lakini wakati huo huo hawana majibu kama mgunda wanampa timu ama lah!
Kama Mgunda anapewa timu basi wafanye usajili kupitia ripoti ya Mgunda, na kama wanatafuta kocha mpya wanatakiwa wampate...