msimu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Tatizo sio uwezo, Hawa wachezaji wapya wa Simba wameshajiweka kinga kwa msimu mpya?

    Mchezaji anaweza kuletwa hapa Simba yupo vizuri sana ukimfatilia huko alikotoka ila msimu ukianza unakuta uwezo unashuka, majeraha, kukosa namba ilhali yuko poa na vimbwanga vingine sana baada ya kupigwa "VIPAPAI". Hawa wachezaji wapya ni vema wafanyiwe kinga.
  2. Timu ya Algeria yaweka rekodi ya dunia kwa kuvuna alama 4 tu msimu mzima

    Klabu ya Algeria HB Chelghoum Laïd 🇩🇿 imeweka Rekodi mbili za dunia baada ya kumaliza msimu wakivuna alama 4 tu katika mechi 30. Pia Wameweka rekodi ya kucheza mechi zote 30 za ligi bila kupata ushindi hata mmoja. Takwimu za timu hiyo: Mechi 30 Ushindi 00 Sare 04 Kupoteza 26 Pointi 04
  3. Yanga msimu huu mmewaweza wanafiki

    Wachambuzi wa uchwara wa hapa JamiiForums na wengine wa mitandao wanaweweseka kila kukicha hawapati taarifa kutoka kwa Yanga. Wanajaribu kutunga habari za kizushi ili waende mjini lakini hawafanikiwi. Yanga ndio club kubwa Tanzania, wewe jiulize Azam na Simba wametambulisha wachezaji wao lakini...
  4. Ni jina Gani la utani la mchezaji lililokuvutia msimu huu?

    1. Diarra screen protector 2.djuma shaban soda ya bemba 3.lomalisa wazir wa water 4.job big brain 5.mwamnyeto super captain 6. Bangala mzee wa kaz chafu 7.moloko Ak47 8.aucho doctor wa ⚽️ 9.fiston mayele predator 10.aziz ki mwamba wa wagadugu 11.morrison toto tundu 12. Kibwana carterpiller...
  5. Yanga wazindua jezi yao nchini Malawi

    Rais wa Malawi Lazarus Chakwera na Rais Samia Suluhu Hassan wa Tanzania wamezindua jezi mpya za Club ya Yanga usiku huu kwenye Ikulu ya Malawi ambako Yanga na Rais Samia walialikwa kusherehekea uhuru wa Nchi hiyo. Kwenye video fupi ya tukio hilo Rais wa Club ya Yanga Engineer Hersi Saidi...
  6. Simba SC imemtangaza Mshambuliaji Kivuli (False number nine) Willy Essomba Onana (23) Raia wa Cameroon kutokea Club ya Rayon Sports ya Rwanda

    Simba SC imekamilisha usajili wa Mshambuliaji Kivuli (False number nine) Willy Essomba Onana (23) Raia wa Cameroon kutokea Club ya Rayon Sports ya Rwanda. Onana amesaini Mkataba wa miaka miwili kuitumikia Simba SC na ana uwezo wa kucheza namba zaidi ya tatu uwanjani, winga zote mbili na kucheza...
  7. Msimu huu Vigezo vya kupanda ndege ya Mama viwe wazi kwa wote

    Rais Samia katika jitihada za kukuza michezo nchini alitoa ndege ya bure kwa wachezaji na wadau wa soka nchini kwenda Algeria kuipa hamasa Yanga ya kupambana. Inafahamika kuwa wadau wa michezo ni wengi sana hivyo wasingetosha wote kupanda ndege ya Mama kwenda Algeria. Swali langu ni vigezo...
  8. Wachambuzi na waandishi wa michezo nanyi jiandaeni kwa msimu mpya 2023-24

    Mpira ni mchezo wa wazi uliokunyanya wadau wengi sana wanaoufuatilia, hivyo sio hekima kwa mtu asiyekuwa na weledi wa uchambuzi na uwandishi wa mpira akajichambulia na kujiandikia kwa kuongozwa na mahaba na chuki kwa timu hii na Ile. Mpira wetu Sasa unapiga hatua kubwa kitaifa na kimataifa...
  9. A

    Kolo warudia makosa yale yale ya usajili wa msimu uliopita

    Kolo aka mbumbumbu fc sijui ni lini watakuwa makini na usajili. Kila msimu ukitia ndani msimu huu, wameendelea kusajili magarasa tu. Sasa hivi wanahangaika na Djuma Shaban, Yanini Bangaiza, na Lomalinda. Hivi vibabu vitawafikisha wapi nyie kolowizadi?
  10. Mnaokatalia Yanga wakisema wameshinda Treble. Je, Msimu wa 2021/22 Mamelodi walishinda Treble gani?

    Niambieni walishinda CAF msimu huo? Kila Sehemu na Tamaduni zake katika Football, Afrika tuna utamaduni wetu tofauti na Ulaya Japo tunaweza endana kwenye vitu flan but vingine tukatofautiana.
  11. Kwa msimu wa 2022/23 Yanga imepata hasara ya zaidi ya Tsh. Bilioni 4

    Kama mnavyojua weekend iliyopita klabu ya Yanga ilifanya mkutano mkuu wa wanachama wake na moja ya ajenda ya mkutano ilikuwa kutoa ripoti ya mapato na matumizi ya mwaka 2022-2023. Kumezuka mjadala mkubwa ambao nadhani na mimi nimechangia sana kuuleta wa kuhoji taarifa zilizokuwa zinasambaa kuwa...
  12. Wabunge tumieni pesa yenu vizuri, wengi hamtorudi msimu ujao

    Hali niionayo sasa na ajenda za uchaguzi zinazozidi kuzaliwa, hasira ya wananchi ninayoiona kwa mabo mengi mchanganyiko, kuchoka kwa walio wengi kuona mambo yaleyale kwa miaka 62 Ongezeko la unemployment inayoongezeka, utumwa unaoongezeka wa walionacho na wasionacho, uongozi usiolidhisha wa...
  13. D

    Sadio Mane atachezea klabu gani msimu ujao?

    Kama tunavojua Mane hatoendelea na Bayern msimu ujao ila hadi sasa bado haijajulikana atasainiwa na klabu gani. So far klabu ambazo zimejiweka wazi kumtaka nyota huyo wa Senegal ni: Chelsea, Newcastle, PSG, Liverpool, Juventus, Tottenham, Inter, Aston Villa, Arsenal na Marseille. Unadhani...
  14. M

    Ombi kwako Eng. Hersi Said: Wana yanga tunaomba msimu ujao timu akabidhiwe Charles Boniface Mkwasa (Master)

    Nikiwa kama mwanachama na mwandamizi wa tawi la Yanga, Magufuli Terminal napenda kumfikishia Rais Eng.Hersi Said maazimio tuliyoafikiana wanachama wa tawi la Yanga, Magufuli Terminal kuwa tunahitaji kukuona Master Charles Boniface Mkwasa akiiongoza timu yetu katika kampeni ya kuutetea ubingwa wa...
  15. Hii hapa summary ya mashindano ya CAF msimu huu 22/23

    Imetajwa YANGA na MAYELE. USHAURI: Next time wangeweka na timu zilizoishia robo
  16. Ni Tanzania pekee baada ya ligi kwisha kamati inakaa kuchagua mfungaji Bora, kwanini kanuni isiwe wazi mwanzoni mwa msimu?

    Yaani sijui nani katuroga! Basi kama kulikua hakuna hizo kanuni kwanini msikae juzi baada ya mechi ya Simba Maana tayari kulikuwa na dalili ya Saido kulingana na Mayele! Kwanini yaani! Eti ooh, Kamati ndio itakuwa! Kamati my foot! Suala la mfungaji Bora wala halihitaji kamati ni kanuni tu...
  17. Simba yamaliza msimu kwa unbeaten record ya mechi 21

    Kutokana na propaganda zilizoenezwa na zilizodumu msimu mzima, ni rahisi sana kuamini Simba wamekuwa timu ya hovyo na rekodi ya hovyo sana msimu huu. Nilishawahi kuleta uzi nikikumbushia Simba ndiyo timu iliyofungwa mechi chache msimu huu kuliko zote (mechi moja tu) na hadi msimu unamalizika...
  18. J

    Msimu ujao ligi iwe walau na timu 18 ili tufurahie

    Ligi kuu imekuwa tamu sana, sema mechi chache sana. At least ziwe timu 18 tupate wasaa wa kuenjoy football. TFF board do something. We already have growth in football lets improve it.
  19. Tujikumbushe ya wakilishi wa taifa kimataifa msimu uliopita CAFCC

    “Orlando Pirates through to the Semi-Final @SimbaSCTanzania you can burn juju all you want but not in our HOUSE,” Merafe said.
  20. Sitegemei kuwaona hawa wachezaji wakivaa jezi ya Simba SC msimu ujao timua wote

    Simba SC imejaa wachezaji mizigo, mimi kama mwanachama, shabiki na mpenzi wa Simba SC sitegemei kuwaona hawa wachezaji wakiendelea kuvaa jezi yetu pale Simba. 1. Ottara 2. Onyango 3. Bocco 4. Kapama 5. Kyombo 6. Saido (mchezaji mzuri umri unamtupa) 7. Okwa 8. Akpan 9. Sawadogo 10. Mangungu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…