Kama utani vile, ndugu zetu hawana chao huu msimu.
Bundi kasimama juu ya bati lao, hamna waliloambulia msimu huu.
Tusiwasimange tuwape pole, na wao wasibeze mafanikio ya waliowashinda bali wajifunze na sio vibaya wakituuliza tumewezaje. Hatuna hiyana mbinu zetu tutawapeni, msijitie kibri...