Hii ni elimu ya juu Sana. Kama uelewa wako ni mdogo, utabaki kupolomosha matusi.
Taifa LA Israel limejengwa juu ya watoto 12 wa Yakobo.
Miongoni mwa wale watoto, alikuwepo mtoto kwa jina la YUDAH.
Kutokana na huyo mtoto, Yesu alizaliwa kwenye huo ukoo. (Ndiyo maana anaitwa Simba wa Yudah)...