wadau naomba kueleweshwa kidogo, hivi sare za kaptula zinamaanisha nini kwa wanafunzi wa shule za msingi, na mashati meupe. Kuna mikoa yenye baridi hivi Kuvaa kaptula haiongezi kiwango cha mwili kupata baridi, Kuna maeneo yenye udongo mwekundu sana shati jeupe haliwezi kubaki na rangi yake, na...