“Kutoka mtwana kuwa bwana, na kuondokana na umaskini na kuwa na maisha bora, ni mambo mazuri zaidi niliyopata maishani mwangu!” Bibi Shiangchiu Ram mwenye umri wa miaka 77 ni makzi wa kijiji cha Anmaixi, Mji wa Chamdo, kusini-mashariki mwa Tibet. Ana nyumba nzuri kubwa ya orofa tatu iliyo karibu...