msingi

Msingi is an administrative ward in the Mkalama District of the Singida Region of Tanzania. According to the 2002 census, the ward has a total population of 6,439. According to the 2012 census, the population had increased to 7,289.

View More On Wikipedia.org
  1. Magari kuchezewa Kilometa hata Japan wanachezea la msingi ni kuwa makini sana

    Ishu ya kuuziwa gari na fake kilometers ni jambo la kawaida sana kwa mtu ambae hata kuwa na umakini wa "umakini" tumezoea magari Used kuchezewa kilometa kwenye yard za bongo, lakini kumbe hata Japan wanacheza nayo vile vile. Nina mfano hapa chini wa INSPECTION CERTIFICATE na EXPORT CERTIFICATE...
  2. Hoja za Msingi Juu ya Uhalalishaji wa Matumizi ya Bangi: Mtazamo wa Mdau wa Maisha

    Tangu mwaka 2018, nimekuwa nikitumia bangi kama sehemu ya safari yangu ya kubadilisha maisha. Nilipoamua kuacha pombe, ilikuwa uamuzi mgumu lakini wa lazima. Kila nilipotazama mustakabali wangu, niliona wazi kuwa ulevi ungeweza kuangamiza malengo yangu. Nilipomaliza masomo yangu Mbeya mwaka...
  3. NAOMBA KUJUA MAKADIRIO YA MAWE (TRIPU ZA MAWE) KWENYE MSINGI WA VYUMBA VIWILI, MASTER BEDROOM MOJA, SITTING ROOM, KITCHEN, STORE NA PUBLIC TOILET..

    Habari za muda Huu wapendwa, Kwa wale wazoefu wa ujenzi naomba kujua inaweza kugharimu mawe tripu ngapi kumaliza ujenzi wa Msingi wa Vyumba viwili, master bedroom moja, Sitting Room, dining, jiko na stoo. Naomba kujuza kwa yoyote mwenye uzoefu maana niliita fundi akanipigia hesabu na...
  4. Sababu ya Msingi kuachwa Lomalisa akaletwa Boka ilikuwa ni ipi?

    Nsikuchoshe na Usinchoshe, Tusichoshane! Kabla ya yote nikubali ya kwamba Mimi ni shabiki na mkereketwa wa timu ya Yanga!,hivyo nitakachokiandika hapa kinaihusu timu ya Yanga! Tangu ligi ya NBC imeanza kiukweli binafsi hakuna mechi hata moja kutoka Kwa timu yangu ya Yanga iliyonishawishi na...
  5. Waziri Silaa ameweka jiwe la msingi Shule ya Sekondari Sekoutoure iliyogharimu zaidi ya Shilingi bilioni moja

    Waziri Habari, Mawasiliano na Teknilojia ya Habari, Jerry William Silaa ameweka jiwe la msingi Shule Mpya ya Sekondari Sekoutoure iloyopo Kata ya Ilongero Wilaya ya Singida kuashiria uzinduzi rasmi wa shule hiyo ambayo ujenzi wake umegharimu kiasi cha zaidi ya Shilingi bilioni moja. Shule...
  6. KERO Ukosefu wa Namba ya NIDA unaninyima haki zangu za msingi na inanitia umasikini

    Ndugu zangu wanaJF, huu ni mwaka wa sita sasa mtanzania mimi nahangaika kupata huduma hii muhimu lakini mpaka sasa nahisi kukata tamaa kwa maana kila nikiuliza naambiwa bado mfumo mpya haujatangazwa hivyo tuendelee kusubiri kwa wale tusiokuwa na namba ya nida na kibaya zaidi huku mtaani mfumo...
  7. Nawashukuru majini jambo langu la msingi limefanikiwa

    🙏🙏🙏🙏Nasema Ahsante waziwazi. Msioamini kazi kwenu.
  8. N

    KERO Changamoto shule ya msingi Kimandafu Halmashauri ya Meru mkoa wa Arusha

    Pale Arusha wilaya ya Arumeru hasa Halmashauri ya Meru shule ya msingi Kimandafu kuna mzungu anaitwa Birgita sijui ametokea nchi gani. Huyu mama anatoa vifaa kadhaa vikiwemo vitabu, chakula km unga, chereko, mchele, mafuta ya kupikia. Jambo la kwanza huyu Birgita serikali inamfahamu? Pili...
  9. P

    Chuo cha SAUT badilikeni, Chuo kama shule ya msingi

    Lengo la huu Uzi sio kubeza wala kudharau taasisi muhimu hii ya Elimu ya juu nchini, bali kutoa ushauri kwa lengo la kuboresha mazingira ya chuo,ambayo kimsingi hayavuti Sawa na hadhi ya Chuo Kikuu. Ni mambo ya ajabu chuo kuwa kinakusanya mabilioni ya fedha na Kuna kipindi kilitoa gawio kwa...
  10. M

    Watoto kuimbishwa nyimbo za kuwasifu Wanasiasa si sawa, huenda wakikua watajutia kama nilivyojuta

    Wakati nipo shule ya msingi miaka iliyopita nilichaguliwa kushiriki paredi na kuimbisha nyimbo kwenye paredi hiyo, nakumbuka mpaka leo nyimbo zile, nyingi zilikuwa za kumpigia chapuo Rais fulani kwani ilikuwa karibu na uchaguzi japo nimekuja kutambua shughuli ile vizuri baad ya kukua, kw wakati...
  11. Bashungwa Aweka Jiwe la Msingi Shule ya Sekondari Jakaya Kikwete - Chalinze

    BASHUNGWA AWEKA JIWE LA MSINGI SHULE YA SEKONDARI JAKAYA KIKWETE - CHALINZE Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameeleza kuwa Dira ya Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan ni kuongeza idadi ya Shule za Msingi na...
  12. Hii ndio sababu halisi kwanini watu wengi sana siku hizi wanaota ndoto wapo shule ya msingi au sekondari

    Wakati wewe mtanzania ukiwa unaendelea na mchakato wa kuwahamisha watoto wako kutoka kwenye shule za kiingereza ( English Mediums) na kuwarejesha kwenye shule za Kayumba, wacha nikuambie kwanini umekuwa ukiota ndoto upo shule ya msingi au sekondari unafanya mitihani etc. Wanao jiita mitume na...
  13. J

    Bashungwa aweka jiwe la msingi shule ya sekondari Jakaya Kikwete - Chalinze

    BASHUNGWA AWEKA JIWE LA MSINGI SHULE YA SEKONDARI JAKAYA KIKWETE - CHALINZE Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameeleza kuwa Dira ya Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan ni kuongeza idadi ya Shule za Msingi na...
  14. Updates za Paris Motor Show 2024 (Tarehe 14 - 20 October)

    Paris Motor Show ni moja ya maonyesho makongwe ya magari (tokea mwaka 1898) yanayofanyika kila baada ya miaka miwili, ambapo makampuni mbalimbali ya magari yanaonesha magari yao mapya, concepts, teknolojia na vitu vingine vinavyohusiana na magari. Kwa mwaka 2024, zaidi ya makampuni ya magari...
  15. R

    Ninapotaka kununua ardhi kutoka kwa mtu ni vitu gani vya msingi kuzingatia?

    Wakuu naomba msaada nimepata eneo nahitaji kununua ila Kwa mtu. Naomba vitu vya kuzingatia kuokoa pesa
  16. J

    Muda wa kwenda chuo mwezi huu vitu gani vya msingi kwa mwaka wa kwanza kuwa navyo hasa kwa Kozi za Udaktari

    Na kuhusu vyuo vya udaktari Bora
  17. K

    CCM hatupaswi kuonekana na mionekano ya kimaskini na ombaomba

    Serikali ya CCM inawekwa na wananchi baada ya kuridhia CCM iwe chama tawala. Hatupaswi, wanachama wa CCM, kuonekana na mionekano ya kimaskini na ombaomba. Wakili Msomi na Jasiri, Boniface Anyisile Mwabukusi, Rais wa TLS, nakumbuka tarehe 05/10/2024 alisema: "Lazima tuwe na sehemu tunapokutana...
  18. Bashungwa aweka Jiwe la Msingi Shule ya Sekondari Msangani, ampongeza Rais Samia

    Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amekagua na kuweka jiwe la msingi ujenzi wa Shule mpya ya Sekondari ya Msangani Government katika kata ya Msangani iliyopo Halmashauri ya Mji wa kibaha Mkoani Pwani ambapo Serikali imetoa kiasi cha shilingi Milioni 528.9 kwa ajili ya utekelezaji wa mradi...
  19. Msingi wa Utajiri kwa Karne ya 21 ni Huu

    Habari za wakti huu, Ni matumaini yangu kwamba nyote mnaendelea Vizuri na Shughuli za Ujenzi wa Taifa. Hata mimi niko Salama. Ni muda mrefu sana tangu niweke andiko rasmi hapa Jukwaani, hata hivyo nimekuwa nikiendelee kushirikiana na wadau katika kutafuta suluhu na fursa za kukabiliana na...
  20. Mbunge Aloyce Kwezi Atoa Milioni 2 Kujenga Choo cha Kisasa Shule ya Msingi Mwamanshimba, Kaliua

    MBUNGE ALOYCE KWEZI ATOA MILIONI 2 KUJENGA CHOO CHA KISASA SHULE YA MSINGI MWAMANSHIMBA Mbunge wa Jimbo la Kaliua, Mhe. Aloyce Kwezi tarehe 04 Oktoba, 2024 akiwa kwenye mahafali iliyofanyika katika Shule ya Msingi Mwamanshimba, Kata ya Ushokola Wilayani Kaliua. Mhe. Aloyce Kwezi akiwa katika...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…