msingwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    Usajili wa Msingwa CCM umesaidia sana ujio wa Lissu CHADEMA, hongereni Ndugu Makala, Nchimbi

    Kidumuuu chama!!! Nichukue fursa hii kuwapongeza makada wote ndani ya chama Cha kijani waliofanya usajili mahiri wa kuhakikisha wanamsajili ndugu Msigwa na kusaidia kumpa nguvu na umaarufu ndugu Lissu. Ushindi wa TUNDU Lissu una mchango mkubwa Toka Kwa kada huyu mwenye mapenzi ya dhati...
  2. L

    Ujumbe huu wa Mchungaji Peter Msingwa amemaanisha nini na amemlenga nani?

    Ndugu zangu Watanzania, Huu ndio Ujumbe wa Mtumishi wa Mungu Mchungaji Peter Msigwa alio uandika kupitia katika ukurasa wake wa Twitter Je, anamaanisha nini au kutuma ujumbe gani na kumlenga nani. Kwa wasio elewa kizungu nawasaidia kuwafafanulia. anasema kuwa Kuanguka kwa Jani kavu ni...
  3. J

    Msigwa: Filamu ya Royal Tour imegharimu tsh 7 billion na inatazamwa duniani Kote

    Katibu mkuu wa Wizara ya Sanaa amewataka Wasanii nchini kufanya mambo makubwa kama Filamu ya Royal Tour inavyoitangaza Tanzania duniani Kote Aidha Msigwa amesema wimbo wa Diamond uitwao Kamasova unafanya vizuri sana duniani kote Msigwa amewataka Wasanii nchini kuwaiga Diamond na Kanumba katika...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…