msituni

Actihema msituni is a species of moth in the family Tortricidae. It is found in Kenya.
The wingspan is about 14 mm. The forewings contain white scales and a blackish patch in the costal half, followed by a white patch. The hindwings are light fuscous, with transverse striae.

View More On Wikipedia.org
  1. Team Mbowe, sasa tuingie msituni kuhakikisha Lissu anakwama kuongoza chadema na hapati urais

    Ni wakati muafaka sasa kuanza kupanda miba ya kutosha kuhakikisha huyu ndugu hapati nafasi ya kuwa Rais na pia kusuka hujuma za kila aina ndani ya chama ili kumkwamisha na kumbomoa. Hii Vita haijaisha mpaka iishe
  2. L

    Tanga: Polisi yawakamata na kuwashikilia Watu Sita kwa tuhuma za mauaji ya Watu Watatu waliokufa kwa kuchomwa Moto Msituni

  3. Jeshi La Polisi mkoa wa Kusini Unguja lathibitisha kifo cha Askari wake ambaye alitoweka tangu mwezi Agosti akiwa msituni

    Wanabodi, Hatimaye Jeshi la Polisi Mkoa wa Kusini Unguja muda mchache uliopita limetoa taarifa kuhusu kifo cha Askari Haji Machano Mohamed wa kikosi cha Valantia (KVZ). Askari huyo alitoweka tarehe 08/08/2024 wakati akihudhuria mafunzo ya uongozi katika Chuo cha Uongozi cha Jeshi la Kujenga...
  4. Nimeota mimi mwanajeshi vitani, ilivyofika kuanza operation msituni nikashtuka fasta usingizini

    Kifo kisikie tu ila Ikifika zamu ya kukabiliana nacho huwa ni kizaa zaa. Huwa nacheza ma game ya combat au frontlines heroes naona tu raha kuwaua maadui. Paah Paah napiga tu risasi kwenye simu sasa leo mapema alfajiri ikanijia ndoto kama unavyojua ndoto mwili unahisi kitu una ki perform live...
  5. 429 Shakahola forest death: Kenya security kushinda vita vya ugaidi dhidi ya Al shababu bado sana?

    Imagine hadi watu wanakufa kufikia 429 serikali haijui? Watu 429 sio wachache hii inamaanisha kuna watu wengi sana wanapotea na kufa pasipo serikali kujua. Swali linakuja kama intelligencia iko weak hivi inawezaje ikashinda vita dhidi ya ugaidi ambao wanatumia njia za kisasa na mipango ya...
  6. Moto wa Msituni watu 112 Nchini Chile

    Watu 112 wamepoteza maisha kutokana na moto ulioanzia katika Msitu eneo la Valparaíso ambapo mamlaka zimetangaza Hali ya Hatari huku zoezi la uokoaji likiendelea. Inaaminika huo ni moto mkubwa kuwahi kurekodiwa Nchini hapo na waathirika wengi walikuwa wakiishi maeneo ya jirani na eneo hilo na...
  7. B

    Pre GE2025 Paul Makonda: Wahuni wameingia tena msituni nini? Siyo kwa ukimya huu

    Kwa mjibu wa katibu mwenezi wa CCM Taifa, ndugu Paul C. Makonda, Taifa letu lina viongozi wazalendo ambao wakipewa kazi wanafanya kazi kuhakikisha nchi inapiga hatua kimaendeleo. Lakini kwa bahati mbaya pia kuna WAHUNI ambao wakipewa kazi, wanaliibia Taifa hili na kukalia kupiga majungu! Lakini...
  8. Nisiwe Mnafiki kuna Timu ikishinda leo naingia Msituni rasmi Kimafia kuwasaidia Wasudani ili Wafuzu

    Ni Timu moja mbaya na nisiyoipenda si tu Tanzania bali hata duniani ila kwa sasa nimeisahau Jina.
  9. B

    Songwe: Miili mitano yaokotwa msituni

    WINGU jeusi limetanda wilayani Mbozi katika Mkoa wa Songwe baada ya miili ya watu watano wasiofahamika kukutwa imetupwa kwenye msitu wa Mlima Senjele pembezoni mwa Barabara Kuu ya Tanzania na Zambia (TANZAM). Miili hiyo ambayo ni ya wanaume wanaokadiriwa kuwa na umri wa kati ya miaka 25 na 30...
  10. O

    Aishi zaidi ya siku 30 akila wadudu baada ya kupotea msituni

    Bolivia. Kisa cha Jhonatan Acosta (30) kimewashangaza wengi baada ya kuishi kwa kula minyoo na wadudu kwa zaidi ya siku 30 tangu alivyopotea katika msitu wa Amazon. Akifanya mahojiano na kituo cha televisheni cha Unitel alisema, "Ilinibidi kujifunza mbinu mpya za kuishi, nilijilazimu kutumia...
  11. Mwili wa Bodaboda wakutwa msituni Dar

    Wakati bado tukio la kutekwa kwa Maliki Lukonge wilayani Mkuranga Mkoa wa Pwani, likiwa halijapata ufumbuzi, mwili wa mtu ambaye jina lake halijafahamika, umekutwa umetupwa kwenye msitu wa Pugu Kazimzumbwi wilayani Ilala, ukiwa na majeraha kwenye mikono na kutobolewa macho. Lukonge alitekwa na...
  12. S

    SoC02 "Fedha iliyopo msituni" kauli ya baba

    Nisingeweza kufika hatua ya kuandika ndan ya jukwaa la jamii forums bila Mali ambazo zimepatikana msituni. Mimi ni mwanafunzi mwenye elimu ya chuo kikuu, mafanikio yangu yametokana na bidii ya baba yangu kupanda miti miaka ya nyuma sana ambayo imesaidia katika kunisomesha mimi na ndugu zangu...
  13. Moto wa Msituni waua watu 26 Algeria

    Kamel Beldjoud ambaye ni Waziri wa Mambo ya Ndani wa nchi hiyo amesema watu 24 walipoteza maisha kwenye eneo la El Tarf mpakani mwa Tunisia na vifo vingine viwili vikitokea Kaskazini mwa Algeria. Taarifa zaidi zinasema hadi kufikia Agosti 17, takriban watu 350 walihamishwa kwenye Mikoa...
  14. CHADEMA mmepoteza matumaini ya kisiasa mnahaha kama mbweha msituni, hamjui mtaji gani wa kisiasa utawatoa. Mmebaki kuomba dua la kuku.

    Mtaji gani wa kisiasa utawatoa mrithi sasa hivi? Ufisadi? Maana mlizoea kusema CcM ni mafisadi. Mmebaki kudandia hoja ya uchaguzi wa Spika na mnashadidia kuliko hata wanaCCM wenye mandate ya kuteua na kuchagua spika. Kesi ya ya ugaidi inayomkabili Mbowe na wenzake itawapa mtaji na kupata...
  15. Nimepanga kwenda kuishi Msituni/Porini sana

    Kila mtu katika maisha kuna kitu anapenda, kila mtu ana tafsiri yake ya maisha na jinsi ya kuyafurahia maisha. Toka nimerudi kutoka South Afrika Kama kuna kitu natamani kufanya kwenye maisha yangu hapa Bongo na kitanipa furaha ya kweli, basi ni kwenda kujenga na kuishi Msituni,nilijikuta...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…