Mimi Huwa nikiwaambia, tuna Rais Kazi yake ni KUSAINI TU muwe mnanielewa, yaan tuna Rais akiletewa makaratasi hajishughulishi kwenda Ndani zaidi, ajiridhishe Kisha atoe ruksa.
Ebwana eeh Leo katika Kupitia majina ya UDED japo nione jina langu, kijana Mzalendo kama Mimi, nikakutana na hili jina...