msongo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Hata kama una gheto kama hili! Lakini msongo wa mawazo lazima ukuue!

    Mfumo wa maisha ulitengenezwa husiishi peke yako! Ukiona unaishi peke yako ama umelaaniwa, mchawi, au kichaa/chizi. Kama una akili timamu basi jua fika unapigwa matukio na upweke na msongo wa mawazo! Haijalishi utajitahidi kivipi kuwa na gadgets za electronics kukuliwaza! Ebu angalia huyu mdada...
  2. Mambo gani huwa unafanya ukiwa na msongo wa mawazo ama mtu akikukera?

    Mimi nafanya hivi 1. Nakula vizuri, chakula nachokipenda 2. Natoka kwenda kutembea 3. Nalala 4. Nalia sanaaaaaaa 5. Naenda kununua nguo mpya 6. Nafanya usafi Na mengine mengi Wewe je? Lengo ni kuwapa experience wanaopitia wakati mgumu,wanaweza kupata ideas mbili tatu Uzi tayari Pia soma...
  3. Naombeni msaada niko kwenye msongo wa mawazo

    Salaaam ndugu zangu wa JF. Nitaelezea kwa ufupi sababu ambayo, inanifanya hadi sasa niwe kwenye msongo wa mawazo. Ilikua mwisho wa mwaka 2024 tarehe, 31..baada ya mishe mishe za kila siku ndipo nilipopata natasi ya kukutana na binti mmoja ambaye sio muda nimeanza kuwa nae kwenye mahusiano...
  4. Watoto wa 90 na Watoto wa 2000 naomba mpite hapa kuna kitu cha kujifunza

    Wakuu! Leo tena nimeona isipite hivi hivi bila kutia neno lolote la maana na mimi kwenye tafakuri zangu. Hili nitakalolieleza ni moja kati ya yale mengi ambayo nimekaa nikayawaza sana kuhusu watoto waliozaliwa 90 na watoto waliozaliwa 2000. Kwanza kabisa inabidi uelewe watoto wa 90 ni wale...
  5. Kumekua na ongezeko kubwa la Wanawake wenye msongo wa mawazo

    Wakuu! Naomba nielezee na hii walau kwa uchache. Katika pitapita zangu za hapa na pale na kuangalia huku na kule kwenye kujitafuta, kujitafakari, kufikiri na kujichanganya na watu tofauti tofauti. Nimekuja kugundua/kubaini kwamba kuna ongezeko kubwa sana la wanawake wenye msongo mkali wa...
  6. Geita: Wanaume kutosikilizwa kumechangia msongo wa mawazo na Vifo kwenye ndoa

    Imeelezwa kuwa wanaume wengi bado wanakosa nafasi ya kusikilizwa, hali inayochangia kuongezeka kwa vitendo vya ukatili wa kijinsia dhidi yao katika familia nyingi, jambo linalosababisha msongo wa mawazo mkubwa, ambao kwa baadhi ya wanaume umesababisha vifo. Hayo yameelezwa kwenye kongamano la...
  7. Ushabiki wa soka bongo umegubikwa na ushamba na haswa watu wanashabikia kwa msongo (depression)

    Yani mtu kafungwa tu jana.... "oooh kocha afukuzwe" "Mpira una siasa tumefanyiwa siasa" "Hii yanga ya sasa ikikutana na simba inafungwa 20" Yani hapo na hapo mbongo kashasahau kuwa wameshashinda ligi mfululizo zaidi ya mara x2 , wamemfunga mpinzani mfululizo na wametoka kumfunga tu juzi hapa...
  8. K

    Natafuta Mwanasaikolojia, nina msongo wa mawazo. Nahisi kujiua, kuvuta bangi, kunywa pombe vitu ambavyo sijawahi kutumia

    Habari, Kwa Sasa napitia wakati mgumu nina matatizo binafsi nahitaji msaada wa kisaikolojia nitamlipa. Nipo kKgamboni naomba mnisaidie Pm kuko wazi. Msinijibu ovyo mtaendelea kuniumiza
  9. W

    Jinsi ya kukabiliana na msongo wa mawazo

    1. Weka malengo unayoweza kufikia ndani ya muda mfupi Badala ya kuorodhesha majukumu mengi, fikiria kuweka malengo madogo. Kuweka na kutimiza malengo haya kunaweza kukupa hali ya udhibiti na mafanikio, na kusaidia kuongeza motisha. Ukimaliza jambo dogo, elekeza macho yako kwenye jambo dogo...
  10. Kuwa na marafiki ukubwani kunapunguza msongo wa mawazo, usijifiche kwenye introvert

    Marafiki sio watu unaojuana nao na kupiga stori,no no no,hao ni watu unaojuana nao,sio marafiki. Rafiki ni mtu ambae unauwezo wa kumuambia jambo lako la siri na ukawa na AMANI kabisa kwamba hawez kulisema jambo hilo. Wanaume tunapitia mengi sana kiasi kwamba kuna wakati unahitaji mtu wa kukaa...
  11. G

    WALIMU WAITWE KWENYE USAILI LA SIVYO MSONGO UTAWAUA

    Sekretarieti ya Ajira mna tupa tabu ya kuishi na walimu waliomba kazi kila mda oya mtandaoni hakuna jipya, fanyeni kuwaita kwenye hizo interview.
  12. Hili neno "Umehonga" linawapa msongo wa mawazo wanaume. Tafadhali tusilitumie kwa wanaume wetu

    Wanawake tuliowengi kwa sasa tunaendeshwa na hisia tu badala ya uhalisia Kwa sasa tunaamini na kuhisi kwamba iwapo mmeo hakupi pesa ya matumizi ya kutosha au akakwambia hana pesa kwa muda huo basi neno litakalotamkwa na mke wake au mpenzi wake ni kuwa amehonga pesa wanawake na kumnyima mkeo au...
  13. Wanawake walioajiriwa wana msongo mkubwa wa mawazo kuliko wanawake wanaoitwa mama wa nyumbani

    Wanawake walioajiriwa wanapitia msongo mkubwa wa mawazo kuliko walioajiriwa. In short wanawake hapa duniani wanachohitaji ni UPENDO tu na kuwapa Attention na mahitaji yao ya msingi. Huku maofisini kama sio kuishi katika imani ningekuwa naiokota Kama maua sama. Ukimuona mwanamke haeleweki...
  14. Mabinti wenye umri kati ya miaka 18 -22 ni tiba Mujarab kabisa ya tatizo la msongo wa mawazo kwa wanaume

    Kama wewe ni mwanaume wa age 30+ umeoa au umezaa na mwanamke/wanawake na wanakupa stress za mapenzi kama vile unahisi wana flirt na michepuko au mmeachana na ex wako ame move on, etc, halafu kwa sababu hiyo eti umepatwa na msongo wa mawazo basi Mimi NINAKUTUKANIZIA MAMA AKO MZAZI. Kosa lako...
  15. Luhaga mpina alicheza kama Pele hasa bunge linavyoipakata Serikali

    Wengi watadhani mpambanaji Mpina kuwa hajui kanuni za bunge ila kitendo cha kuchomokea kwa jamii ilikuwa turufu bora kabisa kwake maana nature ya bunge linavyopakatana na mhimili mmojawapo hatuko salama sana . Kama angesubiri spana za huyu supika angepunguzwa nguvu na tusingejua in first hand...
  16. J

    SoC04 Msongo wa Mawazo na Unyogovu baada ya mjamzito kujifungua

    Ni wakati sasa serikali inatakiwa kuwaangalia wanawake wajawazito nakutoa elimu ya magonjwa ya afya ya akili kwa wajawazito lakini kwa jamii nzima kuelewa hili janga kwasababu jamii yetu pia haina elimu ya utambuzi kuhusiana na hili zamani lilijulikana kama swala la kawaida tu mwanamke kuparta...
  17. Wakuu naombeni msaada, naona msongo wa mawazo una ninyemelea

    Nadhani naingia kwenye msongo wa mawazo, nahitaji neno la faraja kwenu wa TANZANIA wenzangu, ndugu, kaka, dada, mama na baba zangu. Wakuu juzi, niliwashirikisha juu ya dhiki ya njaa Inavyotaka kuniua (mwezi wa nne sasa na kula mlo mmoja tu tena wakati wa usiku). Sasa hapa nimemaliza Kuweka...
  18. KWELI Msongo wa mawazo husababisha uwaraza

    Hivi karibuni kumezuka sintofahamu kwamba msongo wa mawazo husababisha matatizo ya kupungukiwa na nywele (uwaraza), je ni kweli?
  19. Mitandao ya kijamii inaweza fanya mtu ukawa na msongo wa mawazo.

    Wakati nawaza mshahara upaongezeka kidogo japo ufike laki 9 au milini 1, nakutana na post mtu anasema ukiwa na mshahara wa milion 1.5 hutoboi, 🙌🙌 Wakati naitafita miaka 35, sojawahi miliki gari chombo cha moto, kuna jamaa anasema kaagiza gari yake ya kwanza akiwa na miaka 22. Kuna jamaa...
  20. R

    Madereva wa Mwendokasi wengi wana msongo wa mawazo. Waziri kaa na hawa watu uwasikilize itapunguza kuharibu magari

    JPM alipoona Mwendokasi Madereva wanadai maslahi alikwenda kuchukua vijana serikalini na JKT akawapa kazi za ulinzi, kukata tiketi,ufundi na udereva. Walioletwa kwa sababu wanawekwa bila sifa wameendelea kujifunza kazi taratibu lakini wakiwa na msongo mkubwa wa mawazo kuhusu lini watapata...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…