msongomano wa magari

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Braza Kede

    Ili kupunguza msongamano napendekeza iwe marufuku watu wa nyumba moja kutumia gari zaidi ya moja

    Gari inayoingia road iwe moja tu kwa kila nyumba na kama kila mmoja ana gari yake mkubaliane kutumia gari ya mmoja kati yenu. Maana kiukweli mnatuongezea foleni zisizo za lazima huku mabarabarani kwa kila mmoja kutaka kuendesha gari yake. Au wakuu mnasemaje?
Back
Top Bottom