msoto wa madereva

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Msoto wa madereva kituo cha kujazia gesi Tazara jijini Dar es Salaam

    Unaweza kudhani magari yameegeshwa au kuna maandamano ya magari, lakini uhalisia ni kwamba gari zinasubiri kujaziwa gesi. Hali hiyo ipo leo Jumanne Oktoba mosi, 2024 kwenye kituo cha kujazia gesi ya magari Tazara jijini Dar es Salaam, ambako msululu wa magari umeanzia kwenye kituo hicho hadi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…