mstari wa mbele

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Sasa Mrisho Gambo yuko katika mstari wa mbele katika foleni ya kula chakula cha sumu alichowapikia na kuwalisha wenzake-fitna, ukiua kwa upanga!

    Mrisho Gambo sasa anatakiwa kula chakula alichowalisha wenzake kwa muda mrefu sana, chakula chenye sumu ya fitna. Katika foleni, hakuna aliyebaki isipokuwa ni yeye, na mgawa chakula anamuangalia usoni kwa macho pima akiwa na upawa uliojaa chakula, gambo akiwa na sahani yake mbele ya mgawa...
  2. Pre GE2025 Mwenyekiti CHADEMA Kanda ya Kaskazini: Nitawashughulikia wote wasiomkubali Lissu

    Mwenyekiti CHADEMA Kanda Kaskazini Wakili Welwel wakati akifungua kikao kazi kilichohutubiwa na Makamu Mwenyekiti wa Chama Taifa Kamanda John Heche kilichofanyika Siku ya jana Equator Hotel Arusha amesema kuna wanachadema bado wanaugulia maumivu kama vile wamefiwa. Anahoji ni maumivu gani ya...
  3. Baada ya kuona hali tete Korea Kaskazini yaondoa Wanajeshi wake Mstari wa Mbele huko Ukraine

  4. G.Lema amekiri kuwa alikuwa mstari wa mbele kuichafua nchi kimataifa

    Inasikitisha sana kuona aliyekuwa kijana ambaye tulitegemea awe mzalendo ndiye alikuwa akichangisha fedha ili kuhudumia kampeni chafu ya kumchafua Magufuli kimataifa. Kukiri kwake kunaongeza chuki dhidi yake na washirika wake kutoka kwa jamii ya watanzania iliyompenda John Pombe Magifuli...
  5. M

    Pre GE2025 Kuhusu Katiba mpya/ Sheria mpya za Uchaguzi, mimi nitakuwa mstari wa mbele

    Ndugu zangu Maaskofu, Masheikh, Mapadre, Wachungaji, Manabii, Mitume na Watanzania wote, suala la Katiba mpya na Sheria mpya za Uchaguzi linatuhusu sisi sote. Katiba mpya na Sheria mpya za Uchaguzi si kwa ajili ya chama/ vyama vya siasa tu, bali ni kwa ajili ya Watanzania wote. Katiba mbovu...
  6. Maana ya jiji iko wapi kama hawako mstari wa mbele katika majanga makubwa?

    Kwa nini meya wa jiji haonekani mstari wa mbele Katika janga la kibinadamu la kuanguka kwa ghorofa Kariakoo ambalo ni eneo lake kiutawala? Katika maafa kama haya meya alipaswa kuwa mtu muhimu zaidi kuliko wote akizungumza na vyombo vya habari, ila hapo Kariakoo ni kama hakuna meya kabisa au...
  7. Wanaume Ukraine waacha kwenda masokoni,mikahawani,shughulini na sehemu za ibada kuogopa kukamatwa kupelekwa mstari wa mbele

    Kaka Serhiy na dada Tania walikatisha kufanya harusi yao ufukweni mwa bahari wakihofia hali mbaya ya hewa.Hata walipoingia kwenye ukumbi walikoalkwa wageni kushuhudia harusi yao bado waligundua hali isiyo rafiki kwa furaha yao.Viti zaidi ya nusu vilikuwa ni vitupu ikiwa na maana waliohudhuria ni...
  8. Dkt. Slaa: Viongozi kuwa mstari wa mbele kwenye maandamano sio lazima

    ALIYEKUWA Balozi wa Tanzania nchini Sweden, Dkt.Wilbroad Slaa amesema pamoja na kutokushiriki katika siasa za jukwaani lakini hataacha kushirikisha uzoefu wake kwa vijana ili wautumie katika harakati zao. Slaa amezungumza hayo leo katika mahojiano maalum na Mwandishi wa JAMBOTV nyumbani kwake...
  9. Hamas wafanikiwa kupigana nyuma ya mstari wa mbele wa IDF. Watumia droni kufanya upelelezi

    Hili tukio kiuhalisia wa vita vikali vinavyoendelea ni dogo lakini tunalitaja kwa uzito kwa sababu linatokea kaskazini ya Gaza ambako kwa muda mrefu tumeelezwa kuwa eneo hilo liko kwenye mzingiro na kwamba Hamas wote wamefurushwa. Msomaji anaweza akajiuliza kama ni hivyo Hamas wametokea wapi na...
  10. Mwanasheria aliyepelekwa mstari wa mbele Kharkiv baada ya kunusurika kifo asema harudi tena kupigana.

    Mwanasheria Ihor ambaye alichomolewa kutoka maisha ya kiraia na kupewa mafunzo ya wiki tatu kutoka vikosi vya NATO amesimulia kilichompata na kuweka msimamo harudi tena kupigana dhidi ya Urusi. Anasema siku hiyo mwanzoni mwa mwezi Agosti iliyopita ghafla alijikuta yupo katika ya mashambulizi ya...
  11. J

    Waziri Bashungwa: JKT tupo mstari wa mbele kuwapika vijana kushiriki katika kilimo

    BASHUNGWA: JKT TUPO MSTARI WA MBELE KUWAPIKA VIJANA KUSHIRIKI KATIKA KILIMO "Maono na uwekezaji Mkubwa unaofanywa na serikali ya Awamu ya Sita (6) inayoongozwa na Amiri Jeshi Mkuu Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Sekta ya Kilimo umeleta tija Kubwa sana katika Kilimo chetu Kwa sasa. Pia Sisi...
  12. Mbabe wa vita Zelensky atembelea majeshi ya mstari wa mbele Donetsk

    Mbabe wa vita kwa karne yetu Volodymyr Zelenskyy ametembelea wanajeshi walio mstari wa mbele na kutoa nishati kwa wanajeshi wasiokata tamaa kulinda nchi yao kwa gharama hata kama ni maisha yao. =========================== Zelenskyy visits troops on Donetsk front line Zelenskyy has visited...
  13. F

    Tundu Lissu ukiwa kwenye mstari wa mbele wa mapambano, yafanye yote kwa weledi na kadiri

    Mheshimiwa Tundu Lissu historia ya vita yako ya kutetea haki na utawala bora Tanzania imeandikwa kwa damu yako mwenyewe, na sina shaka hata kidogo wewe ni mpambanaji wa wapambanaji katika nchi yetu. Kati ya watu wachache wanaoweza kuelezea machungu ya kupigania haki na utawala bora duniani, basi...
  14. Waziri wa Ulinzi wa Urusi atembelea mstari wa mbele wa vita

    Waziri wa Ulinzi wa Urusi, Sergei Shoigu, amefanya hii leo ukaguzi wa vikosi kwenye uwanja wa mapambano mashariki mwa Ukraine, wakati mapigano yakiendelea viungani mwa mji wa mashariki wa Bakhmut. Wizara ya ulinzi imesema leo kuwa Shoigu alikagua kituo cha uratibu katika mkoa wa kusini wa...
  15. Hoja: Kwanini vijana wa Kiume ndio mstari wa mbele kwenye masuala ya kubeti?

    Thread was deleted
  16. Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

    Salaam Wakuu, Hii ni Special thread ya Video na Picha kutoka Uwanja wa Mapambano Ukraine kwa Wanajeshi Waliopo Msitari wa Mbele. Hii thread inawahusu timu Ukraine. Picha zinahusu mafanikio ya Ukraine. Mwanajeshi wa Ukriane akiwa na PG-7VM rockets Hiki ni kipigo cha kwanza walichokipata...
  17. Waliokuwa mstari wa mbele kudai Katiba Mpya baada ya kupata vyeo leo wanaipinga

    Wakati wa Mchakato wa KATIBA MPYA mwaka 2011, Bwana Humphrey Polepole na Bw. Kabudi Walikuwa Miongoni ya Wajumbe wa ile Tume ya Warioba. Watu hawa Walikuwa Mstari wa mbele sana kuhakikisha mchakato ule unafanikiwa. Kwa Bahati Mbaya mahafidhina wakauharibu ule Mchakato na Katiba Mpya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…