Mimi si mwanasiasa ila ni Mtanzania ninayenufaika na siasa. Kwa umri wangu mdogo, nimeona vyama vingi vikifa ikiwemo CUF, chama ambacho nilikipenda sana, ila baadaye nikaanza kuvutiwa na smartness ya Chadema, ingawa si mwanachama.
Kwa mtazamo wangu, Chadema imejengwa kwenye msingi imara sana...