Its match day!!
Ni Tanzania Vs Guinea katika dimba la Benjamin Mkapa kuanzia Saa 10:00 Jioni.
Ni mchezo wa kufuzu AFCON ya mwaka 2025 pale Morocco ambapo kundi H Taifa Stars inahitaji ushindi wa namna yoyote ili ifuzu wakati Guinea wao wakihitaji ushindi au droo ili waweze kufuzu.
Saa 10:00...
Inashangaza sana. Ni vile tu Msuva hana watu wa kumpigia debe na ni kweli hakuwahi cheza Europe. Lakini kwa mchango kwa Team ya Taifa.
Msuva ana mchango sana. Nlimtega mtu mmoja alinganishe magoli aliyofunga Msuva na wachezaji wengine.
Hakuweza akaishia kutukana tu na kwenda kujisaidia haja...
Ktk kipindi hiki muhimu kuelekea mchezo wa kufa na kupona kuelekea kufuzu AFCON.
Badala ya kuhamasisha umoja wa timu, wao wanajadili nani bora kati ya Msuva na Samata.
Nadhan tuna safari ndefu kufikia Uchambuzii wa Michezo wenye tija kwa taifa
Hii nayo ameona isimpite 😂🤗
Simon Msuva amefunga bao la kuiweka Tanzania mbele dhidi ya Ethiopia na anajiunga na mtindo wa kushangilia wa Baltasar Engonga, kigogo wa zamani wa mambo ya fedha wa Guinea ya Ikweta aliyekumbwa na kashfa ya ngono.
Soma: Guinea: Kigogo Baltasar Ebang Engonga anaswa...
Mchezaji Bora katika kutoka Azam Fc Prince Dube amesajiliwa na mabingwa wa kihistoria Dar Young Africans.
Young Africans waendelee kuimarisha timu kwa kufanya Usajili makini bila kukurupuka.
Prince Dube amesajiliwa ataitumika Dar Young Africans kwa miaka miwili, Prince Dube anauzoefu mkubwa...
Halafu hapo hapo tena tukaambiwa kuwa huyo Shemeji yako ( Mchezaji Mweupe kutokea Uingereza ) anacheza Ligi Daraja la Tatu wakati kumbe anacheza Ligi Daraja la Tano Uingereza ambalo kwa huku Kwetu Tanzania ni sawa tu na Ndondo Cup ile ya Shaffih Dauda.
Kwahiyo Simon Msuva ( Shemeji Mtu ) na TFF...
Habari za hivi karibuni zilizopo hadi sasa zinaeleza kuwa kuja kwa Simon Msuva kujiunga na Yanga SC bado ni taarifa rasmi haijathibitishwa na klabu zenyewe.
Kwa sasa inaonekana kama tetesi tu na hakuna tangazo rasmi kutoka kwa pande zote mbili. Tutafuatilia kwa karibu na kutoa taarifa za...
Kuna rumours that Msuva amesign youn Africans baada ya kutemwa na js kabylie. leo kacheza vibaya sana. kiwango amna kitu.
yanga mkimbieni huyu mtu. atakuja kupoteza mda na nafasi za kinda hapo yanga.
Kaisha timu ya taifa pia tumteme time is up. Afcon pelegrino ndani Msuva hapana. Hamna...
Kumekuwa na tetesi kuwa timu kubwa vigogo hapa nchini za Simba na Yanga zote zinaiwania saini ya straika Simon Msuva.
Msuva yupo nchini tangu mwezi Juni mwaka huu, baada ya kumaliza mkataba na klabu yake ya Al-Qadsiah, ya Saudi Arabia.
Yanga imeripotiwa kurdi tena upya kufanya mazungumzo nae...
Kuna Viongozi wa Simba wanamsumbua Simon Msuva, huku muda mwingi wa mapumziko anapotoka mazoezi wakimpigia simu na kumdadisi awaambie baadhi ya mambo yanayowahusu wydad, tukumbuke kuwa Msuva alicheza wydad kwa kipindi kirefu na anawajua nje ndani, pia anajua mbinu zao chafu na safi ndani na nje...
Feisal Salum “Feitoto” atinga tena TFF akiwa na aliyemsaidia Saimon Msuva kushinda kesi CAS. Mara hii amewasilisha barua ya maombi kwa TFF akitaka kuvunja mkataba wake na klabu yake ya YANGA
============
Mchezaji wa Klabu ya Yanga, Feisal Salum, Machi 6, 2023 amefika kwenye Ofisi za...
Shirikisho la Soka Duniani FIFA limeiagiza Club ya soka ya Wydad Casablanca ya Morocco kumlipa Mchezaji Mtanzania Simon Msuva zaidi ya dola za kimarekani laki saba ( Tsh. zaidi ya bilioni 1.6) baada ya Mchezaji huyo kushinda kesi ya madai aliyoifungua dhidi ya Club hiyo.
Msuva ambaye alikua...
Tetesi ZINASEMA Yanga imefunga usajili na Msuva, lakini bado wana vikao vya siri je kati yake na Azizi nani awahi kutambulishwa.
Hapa sasa ni biashara ya jezi.
Tarehe 6.8.2022 Yanga Day.
Simba SC hebu waoneeni Huruma Yanga SC kwani kuna tetesi (Habari zisizo rasmi) kuwa Mchezaji Simon Msuva (aliyedhaniwa kurejea Tanzania kuichezea Yanga SC) atatua Simba SC na kwamba huenda akatambulishwa pamoja na Kiungo wa Zambia Clatous Chama.
Yaani Winga ya Kulia Msuva, Winga ya Kushoto...
Je,....
1. Ufalme wa Mbwana Samatta unamtesa?
2. Anataka kutuonyesha kuwa Mbwana Samatta ni cha Mtoto tu Kwake?
3. Huamua Kumsusia Timu Kimakusudi Mbwana Samatta?
4. Hampendi Mbwana Samatta?
5. Usimba na Uyanga umewaathiri kwakuwa Msuva ni Yanga SC na Samatta ni Simba SC?
6. Anataka...
Swali hili ni La Kawaida Sana , tusilichukulie Ki Usimba Na Uyanga.
Goli La huyu Mwamba Msuva Lilikuwa Fantastic ...! Lakini ile misukosuko Iliyoelekezwa Langoni Kwa Stars Sio Ya Kitoto na Manula alifanya Kazi nzuri na Ya Ziada Kufanya saves za Maana...! Hatimaye tumeibuka Washindi.
Kwako Shujaa...
Mbwana bado anahangaikia hatima yake, mara Genk, mara Aston, mara Fenabache mara Ubelgiji tena. Nadhani mchango wake kwenye timu ya taifa hautoshi kuendelea kushikilia unahodha wa timu hii.
Mchango wa Msuva ni mkubwa sana, anacheza kwa nguvu zake zote akiwa na timu yake ya taifa. kwanini...