Mjane wa Bilionea Erasto Msuya, Miriam Mrita (45) ameieleza Mahakama Kuu, Kanda ya Dar es Salaam, jinsi alivyoshiriki katika mgao wa mali za mume wake kwenda kwa ndugu wa Erasto Msuya.
Amedai mgawanyo wa mali za marehemu mume wake, Erasto Msuya ulifanyika Februari 2014, ambapo baba na mama wa...