mswaki

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Unatumia mswaki brand gani, tushirikishe

    Shalom wakuu… Unatumia mswaki brand gani nzuri? Maana miswaki yetu hii ya whitedent ya jero jero ukiswakia mara chache tayari haifai. Brand ipi nzuri wakuu?
  2. Hii elimu ya kwamba ukipiga mswaki hutakiwa kusukutuwa kwanini hatukufundishwa darasani?

    Wakuu, Vitu kama hivi vinapaswa viwe vinafundishwa darasani, kuna namna mitaala yetu inabidi ibadilishwe kabisa
  3. Huu ndio mswaki unaotumika sana hapa Tanzania na Watanzania wengi

    Mswaki uhu wengi wanautumia sana na ili waache kutumia bas labda waone mtoto anauchezea chini au umeangukia chooni vinginevyo utatumika mpaka ulie up one kushoto 🤣🤣 au aende safari af awe amehusahau atanunua mwingine kama uhu uhu ni jero tu wanauza.
  4. Unawezaje kujua kinywa chako kinatoa harufu mbaya au hakitoi licha ya kwamba ulipiga mswaki vizuri?

    Huenda ulipoamka asubuhi ulisafisha kunywa chako vyema kabisa. Mpaka kufikia nyakati za jioni, labda kwasababu ya vyakula mbalimbali ulivyokula hapo katikatika, je, unawezaje kujua kwamba sasa kwa muda huu harufu ya kinywa inaweza kua mbaya na nzito na ikawa kero kwa wengine?🐒 Mungu Ibariki...
  5. Mwamba hajawahi piga mswaki

    " No one care who i was until i put the mask" " Peace has cost your strength, Victory has defeated you" " You think darkness is your ally..." " I was born in it, molded by it" Ladies and gentlemen its BANE 🥶🥶🥶🥶🥶 Huyu mwamba given his circumstances hawezi piga mswaki kabisa.
  6. Acheni kutumia vitunguu saumu kama dawa ya kukata harufu mdomoni pigeni mswaki

    Ase ifike mahali tuambiane ukweli kuna watu hawapigi mswaki kwasababu morng ana amka na vitungu swahumu kutafuna ili kukata halufu ya mdogo hii inapelekea hata jasho la mwili kuwa baya sana. Tumia kwa tiba na sio kufanya ndio dawa ya meno epuka kula vyakula vyenye viuongo vingi sana hivi...
  7. T

    Sija piga mswaki kwa siku tatu

    Baada ya kuonana na dakitari na kufanya vipimo nimekutwa sina tatizo la magonjwa ya zinaa ialkini nikakutwa na UTI nikapewa dozi ya sindano ya kuchoma kwnye mshipa kwa siku tano. Kinacho nishangaaza ni kwamba sija piga mswaki kwa siku tatu na mdomo hauna harufu, nikienda kujisaidia choo...
  8. Mswaki na Dawa zinazotolewa mashuleni ni salama?

    Wakuu habari, Kwa mwenye uelewa tusaidiane. Watoto wa shule za primary wamekua wakipewa dawa za meno na mswaki kwa lengo la kuhamasisha usafi wa kinywa. Licha ya nia kua nzuri lakini pamekua na sintofahamu ikidaiwa dawa za meno zinazotolewa zina madhara kwenye upande wa hormones. Wadau mnaopita...
  9. Gari nyingi za Toyota za sasa ikishachemsha, fikiria kununua mswaki au engine complete nyingine

    Hizi engine za kisasa za toyota ambazo zimekuja na Aluminium block ni nzuri ikiwa haijawahi pata shida ya kuchemsha. Ila kama ikitokea ikachemsha halafu ukarekebisha bado matatizo ya kuchemsha yakaendelea, nakushauri achana kabisa na hiyo engine sababu vinginevyo hakuna rangi utaacha kuona...
  10. Kuna haja ya kupigwa mswaki zaidi ya mara moja kwa siku?

    Ya nini kama bado meno yatasumbua tu huko mbele, kuna ndugu yangu tangu kijana mdogo hawezi kulala bila kupiga mswaki kama masharti ya mganga, sasa ni mzee lkn ashafanya root canal zaidi ya 1 na saa hiz kuna jino linamsumbua nafkiri atafanyiwa nyingine. Wengine kila baada ya kula wanapiga...
  11. Ripoti Afya: Asilimia 76 ya watu wazima Tanzania hawapigi Mswaki

    Utafiti uliofanywa na Wizara ya Afya kuhusu Afya ya Kinywa nchini umeonesha zaidi ya Watanzania Milioni 47 wameoza Meno na sababu ikitajwa kuwa ni kutosafisha mdomo inavyopaswa. Pia, Mkurugenzi Msaidizi wa Kinga na Meno kutoka Wizara ya Afya, Dkt. Baraka Nzobo amesema uchungizi wao umebaini...
  12. G

    SoC02 Kupiga mswaki, sayansi na utaratibu? Au shaghalabaghala alimradi meno yawe safi?

    KUPIGA MSWAKI, SAYANSI NA UTARATIBU? AU SHAGHALABAGHALA ALIMRADI MENO YAWE SAFI? Wote tunaweza kukubaliana kuwa kupiga mswaki ni kati ya zoezi rahisi sana kufanya mithili ya kunywa maji au uji, lakini licha ya zoezi hili kuwa rahisi bado magonjwa ya kuoza kwa meno na magonjwa ya fizi yamekua...
  13. Hizi Alama Zina maana Gani kwenye Dawa ya mswaki?

    Wakuu Habari ya Mda Poleni na Heka Heka ya Timuana ya Mlimani City Juzi. . Wakuu naomba kufahamishwa hizi alama kwenye dawa ya mswaki huwa zina maanisha nini?
  14. Mswaki wako hutumika kwa muda gani mpaka ununue mpya ?

    Kuwa muwazi, mara ya mwisho kubaili mswaki ilikuwa lini, ilikuwa ni muda gani umepita kabla ya kununua mswaki mwengine. Binafsi mimi kama mimi kwa asili yangu nilikuwa natumia mswaki hata miezi minne ama mitano, kwa sasa nasaidiwa na mke wangu anabadilisha kila mwezi, bila hivyo ningeendelea...
  15. Unabadilisha mswaki baada ya muda gani?

    Hua unabadilisha mswaki baada ya muda gani? ====== Mada unayoshauriwa kusoma:Huwa unatumia Mswaki wako kwa muda gani kabla ya kubadilisha/kununua Mswaki mpya?
  16. Huwa unatumia Mswaki wako kwa muda gani kabla ya kubadilisha/kununua Mswaki mpya?

    Wataalamu tofauti wa Afya hasa madaktari wa meno, wamebainisha kwamba mswaki lazima ubadilishwe kila baada ya miezi mitatu. Hata hivyo, wengi wetu hatuzingatii hii kanuni ya kiafya ipasavyo kwa kuweka mdomo katika hali ya usafi, ila kuna baadhi wanaozingatia hii kanuni. Kwa mimi binafsi hii...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…