Mama Janeth Magufuli ametunukiwa tuzo DRC, tuzo ambayo hutolewa kwa wake wa viongozi wakuu na watu maarufu duniani.
Tuzo hiyo ijulikanayo kama M. T. Kasalu aliyotunukiwa ni katika kutambua mchango wake kwa Taifa la Tanzania.
Tuzo ya M.T. Kasalu hutolewa na taasisi ya Martha Tshisekedi Kasalu...