Habari.
Kuna kero moja Manispaa ya Singida, kumekuwa na tabia ya uchelewaji wa kuchukua taka katika baadhi ya maeneo hasa Ginery.
Wananchi wanatoa taka nje siku ya kubeba hawaji kuchukua. Hii ni wiki ya tatu taka zimezagaa kwenye mitaa tu.
Na ni tatizo limeanza toka mwezi wa 12 Mwaka jana...