Hivi karibuni nimekuwa nikilalamiki sana kitendo cha TARURA Singida kwa kutifua barabara na kuiacha ikiwa haitamaniki kwa kushindwa kupitika.
Leo nimepita maeneo hayo na kukuta mawe yakiwa yamemwagwa barabarani tayari kwa kuanza matengenezo.
Naipongeza sana TARURA nawaomba haya mawe yasimalize...
Wakuu bado matokeo baadhi ya maeneo yameendelea kutoa. Vipi mtaani kwako mambo yapoje huko
=====================
Matokeo ya Uchaguzi wa serikali za mitaa mtaa wa Sabasaba kata ya Gangilonga Jimbo la Iringa mjini mtaa ambao MNEC Salim Abri Asas anaishi.
Mwezi Septemba mwaka huu bull dozer ilikuja mtaani kwetu na kutifua barabara tangu siku hiyo halijawahi kurudi japo kusawazisha.
Barabara mbaya ina matuta haijawasazishwa tunapita kwa tabu sana.
Najua lengo lako ilikuwa kutuchota akili ili tukupe nafasi nyingine. Ninachokuomba turekebishie...
Baada ya majina ya wagombea kutolewa jana na kubandikwa hali ya sintofahamu imeendelea kujitokeza km ilivyo kwenye maeneo mengi nchini.
Mkoani Singida kata ya Utemini ambayo inasimamia mitaa mitatu ya Sabasaba, Utemini na Stesheni wagombea waliobandikwa ni wa CCM tu.
1.Mtaa wa Sabasaba hakuna...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.